05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Charles Sitienei: Ingine hiyo imesemwa. Ingine haijasemwa ni kama hii, tangu 92 tuingie multi-party era serikali ambayo

inakuja mamlakani ina-develop sehemu ina a zone. Inaweka eti hii sehemu ni zone fulani. Hiyo zone we don’t want. Kenya

yote ni moja. Mtu wa opposition anatoa kodi. Ama namna gani? Mimi natoa kodi na kila mtu anatoa kodi so we don’t want

zones. Hiyo kwanza rule out. Zone we don’t want.

Com. Asiyo: Hata haiko kwa katiba hiyo ni fikira ya watu.

Charles Sitienei: Na kwa nini mtu basi anasema hii ni zone ya KANU, hii ni ya nani hatutaki hiyo. So katiba iseme hatutaki

zone Kenya ni moja. Ingine ya saba ni Kenya must remain a multi-party state. Usiamke asubuhi useme nimepiga marufuku

chama ingine, hiyo no.

Com. Ayonga: Hata ikiwa mia moja?

Charles Sitienei:Chama tunataka iwe nne au tano. Lakini usisema eti Kenya iwe na chama moja. No, msirudishe sisi kwa

wakoloni tena.

Com. Asiyo: Lakini hiyo haiwezekani…..(inaudible)

Charles Sitienei: Kwa nini haiwezekani na tukiingia uhuru tulikuwa multi-party? Kwa nini ilipotea?

Com. Ayonga: Basi sasa huu ni wakati mwingine mwaka 2000…

Charles Sitienei: Watu wanaweza kununuliwa Bw. Commissioner.

Com. Ayonga: Hapana.

Charles Sitienei: Haya ingine karibu ya mwisho ni provincial administration should be scrapped away. Haijasaidia chochote.

Hiyo ni colonial ham ya kunyanyasa wananchi.

Ya tisa, in kwamba Wakenya tulipigana tupate uhuru na tukule matunda ya uhuru lakini leo Wahindi ndio wanakula matunda ya

Kenya, sio sisi. So tunataka kama ni Wahindi wanafanya biashara Kenya tusema 80% yao ya profit ibaki Kenya. Na kama ni

twenty percent iende kwao. Lakini tunataka percentage kubwa ikae nchi yetu.

Com.Asiyo: Kwa nini 20% iende kwao?

Charles Sitienei: Kwa sababu labda wanasema hata wazazi wao wako huko India.

Com. Asiyo: Wao ni watu wa hapa?

53

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!