05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Com. Asiyo: Sasa ningependa Bw. Charles Sitienei alikuwa amefika hapa mbele na Charles akimaliza kuongea ili tuende

haraka sana nitamuita Bw. Jacob Kipsui.

Charles Sitienei: Jina langu ni Charles Sitienei, mimi ni mgaaji wa area hii na ningependa ni wapongeze kwanza

commissioners, na kabla sijasoma mambo nimaandika if I am not wrong or right I am one of the few Kenyans ambao tumeona

commissions zikiundwa tangu 1960 mpaka leo, na hizo commissions findings zao haziwezi kutolewa so if this one of yours is fine

then (interjection)

Com. Ayonga: Itatolewa,

Charles Sitienei: Itatolewa? Are you sure hii maneno tunatoa ….

Com. Asiyo: Hata sasa imetolewa …… (inaudible) ile inasemwa inatolewa siku hiyo.

Charles Sitienei: So mimi nitasema macheche ambaye wale wamekuja hawajasema. Next parliament tunataka parliament

ambayo ni Supreme. Hatutaki parliament ambayo mtu analala kesho anasema nimevunja parliament. That is wrong. Tunataka

parliament ambayo iko na calender yake, ambayo inaendesha mambo yake mbila kuingiliwa na mtu yeyote, ili hii mambo ya

sycophants tusione. Mambo ya wengine kuenda kulalia wengine.

Defection: Mambo ya kuruka ruka vyama. Tunachagua mtu kupitia chama hii anaenda naruka chama hiyo ingine. Hiyo mimi

naona huyo mtu anafanyia sisi wananchi biashara.

Com. Ayonga: Kwa hiyo unataka aje?

Com. Asiyo: Pendekeza.

Charles Sitienei: Pendekezo ni kwamba ukidefect huwezi kuruhusiwa kusimama miaka ingine tano.

Com. Asiyo: Ok, next one.

Charles Sitienei: Next one ambayo haijasema upande huu ni President apewe term mbili ya kusimama. Councillor namna

hiyo, MP namna hiyo kwani wewe ulizaliwa pekee yako uongoze watu milele?

Com. Asiyo: Sema tu.

Charles Sitienei: Marginalized communities, watu ambao wamenyanyaswa Kenya hii, serikali ya Kenyatta ilipokuweko watu

wengine hata hawakuona shule, so serikali icompensate hao watu. Huwezi kuambia mtu ya Turkana (inaudible) na mtu anaishi

Kiambu, sababu huko imekuwa developed. So wale watu ambao wamenyanyaswa, marginalised communities katika Kenya hii

kuanzia enzi ya wakololoni serikali ya Kenyatta,

Com. Asiyo: Wafanyiwe namna gani?

Charles Sitienei: Wawe compensated kama ni shamba yao walinyang’anywa warudishiwe shamba, 50 acres. Kama hiyo

familiy imekufa family yao iangaliwe. Juzi tulikuwa na hii mambo ya Kaleti??? Land wengi mlisikia. Wanaranda randa Kenya

hii na ndiyo walipigania uhuru. Na wale watu wanagaa wanakula ni wale watu hakufanya chochote. So tunataka marginalised

communities wawe compensated. Makabila yote ya Kenya kuanza huko mwisho mpaka mwisho sio kabila moja.

Com. Asiyo: Haya nyingine la mwisho?

52

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!