05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Commissioners: Eeh hiyo ni yako wewe sema.

Jonah: Ili tajiri asiwe na acre elfu moja na hafanyi kitu. Tena mtu amefika biashara kutoka Mombasa mpaka wapi? Na

tukiwacha shamba hata ile manamba ile chokora hatutapata kwa sababu anaambia serikali mimi nataka mahali mini anafanyia

nayeye kazi, anapata. Mimi nataka hii, anapata. Hakuna mtu anajisikilia eti mimi nikitaka kuenda Mombasa nitaaambia county

council ya Mombasa biashara yangu ndiyo hii. Ananipatia. Si niko na kitambulisho ya kusema mimi Mkenya. Si nina

kitambulisho ya Kenya?

Ya pili kitambulisho na kitambulisho ya banki inahitaji mwananchi atoke pesa kila mahali ambaye anaenda. Kama ni Mombasa,

kama ni Kisumu, kama ni wapi atoe pesa yake ama aweke pesa yake.

Com. Asiyo: Asipeleke kule…

Jonah: Asitafute njia. Na tena sikusoma lakini najua sasa wale wamesoma ukiona hii simu imekuja atashida sisi akae kwa

benki mbila sisi (inaudible) Kwa hivyo nimesema shamba iwe ya serikali na serikali ipange mambo ya kilimo na tena nataka

kumwambia (interjection)

Com. Asiyo: Ya mwisho sasa.

Jonah: Nataka kumuambia tutaishi na hii shamba na kusema title deed ni yangu mpaka tunakosa mali sisi tunalima. Kama hii

Mumberech tuliingia watu elfu moja sasa ni karibu watu arobaine elfu tutalima wapi? Si tutagongana? Ajabu kama ningekuwa

free niende kazi ingine. (laughter)

Haya ya mwisho.(interjection)

Com. Asiyo: Tafadhali tusikilize mzee.

Jonah: Wazee kama mimi waheshimiwe. Na iwekwe sheria. Kijana angu nikiwa na ng’ombe analazimisha mimi achukue na

hata kashamba ni kadogo anasema hapana. Hii si yako hata wewe karibu kuingia kushikwa. Kwa nini mtoto ananisika na

nilisomesha? Serikali aone wazee.

Com. Ayonga: Anashika wewe kama bado?

Jonah: Kama bado. Ananishika mimi kama bado. Ya mwisho kabisa, watoto ni watoto. Kama ni msichana ni msichana

yangu. Kama ni kijana ni yangu. Hii wakati si wakati ile. Nikitaka kupatia nyinyi story wa wakati ule nilikuta wazee wetu nina

miaka sitini ile wakati wetu ya mwisho mpaka wakati tunagaa na wabeberu mpaka tumeingia hii wakati wetu tumeingia uhuru

nikitaka kueleza nitaeleza na mta… Lakini wakati wa sasa, msichana amesoma, kijana amesoma na wote ni mali yangu. Hata

kama ningekuwa ya kuoa leo nipate wasichana pekee yake ni watoto wangu. Umesikia?

Com. Asiyo: Kwa hivyo warithi….

Jonah: Kijana usithubutu kuniletea na mali ni yangu. Nikitaka kupatia mtu moja mimi napea. Kijana asipochunga jina lake

apate baraka msichana atachukua baraka. Kwa hivyo ninashukuru Bi Asiyo kukuona wewe kwa sababu nilikusikia zamani

tangu wewe

(Com. Asiyo. Asante sana mzee hata sisi tumeshukuru sana, na wewe ubarikiwe sana)

39

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!