05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Christopher Serem: Majina yangu ni Christopher Serem. Mimi nilikuwa nataka kuchangia kuhusu vijana. Mimi ni kijana na

vile nimeonelea hii serikali yetu tukufu kuhusu vijana sisi tumewacha nyuma. Kuhusiana na hivyo mimi ninaona ya kwamba sisi

vijana nikiwa moja wao nimeona ya kuwa vijana tumeachwa hata kama mimi nimetoa mfano kwangu mimi mwenyewe naweza

toa mfano mwenyewe mimi nimetumikia seriklai kuanzia mwaka wa elfu moja na tisini na tisa nikiwa idara ya NYS,

(interjection)

Com.Asiyo: Unaweza kupendekeza vile ungependa tufanye?

Christopher Serem: Eeh.

Com. Asiyo: Tafadhali fanya hivyo.

Christopher Serem: Nilikuwa nataka kupendekeza ya kuwa vijana kwa sababu tumepewa ujuzi wa kutosha, mimi niko na

ujuzi ya kutosha, mimi nimefunzwa mafunzo ya kijeshi mimi naweza tumia silaha na nimejiendelesha kulingana na ile course

nimechukua niko na ujuzi mbili; niko na ya kijeshi na niko na ile ya….(interjection)

Com. Asiyo: Sasa tufanye namna gani?

Christopher Serem: Serikali imeshidwa kutuajiri sisi.

Com. Asiyo: Sasa tufanye namna gani? Tunataka kukusaidia.

Christopher Serem: Tuunde tume ambaye inasimamia vijana. Eeh iundwe tume ya kusimamia vijana kulingana na kwa sababu

vijana kama mimi nimefunzwa..

Com. Asiyo: Sasa hiyo umesema sasa eleza ingine.

Christopher Serem: Maoni ya pili, ni kuhusu serikali na raia. Raia kweli hawafahamu raia ni nini. Unajua hivyo kweli?

Wacha ni kuulize swali.

Com. Asiyo: Aah usiulize sisi hatutaki kuulizwa kama raia hawajui serikali, utuambie unataka tutafanya nini ili wajue serikali.

Christopher Serem: Wafunzwe wajue wasione ya kuwa tuko mbali na serikali.

Com.Asiyo: Ok. Very good. Next point?

Christopher Serem: That’s all.

Com. Asiyo: Thank you very much Serem tutaona ya kwamba tutapendekeza hiyo mambo umeiasema mtu wa mwisho kwa

karatasi hii ni Willam Chesire. Isipokuwa kama yule Councillor alikuja ingekuwa vizuri kama angekuja akaongea. Nimemuita

sana ule councillor alikuwa anaitwa Nelson Bett sijui alipotelea wapi. Anakimbia tena anaenda jamani? Cllr. Bett please don’t

go away we have been waiting for you all this time and now you are abandoning us here along na watu wanatoloka na

tumemaliza karibu. Wapi ule nimemuita aje aongee? Bw. Chesire yuko? Cllr. Please don’t go how can you abandon us?

Cllr. Bett: Nilikuwa na sindikiza watu.

Com. Asiyo: Now you can talk.

73

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!