TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Cllr. Nelson Bett: Kwa majina naitwa Nelson Bett. Pendekezo langu nitapendekeza kuhusu serikali ambayo ningetaka

kusema napendekeza serikali ya majimbo ambayo tutakuwa na Prime Minister.

Pia ningependekeza kwamba katika hiyo serikali ya majimbo tutakuwa na regional assembly ambaye tutakuwa na wale

wamechaguliwa kutoka region mbali mbali.

Pia ningependekeza katika education ningependekeza kwamba serikali igalamie elimu katika nchi yetu.

Pia katika basic rights ningependekeza kwamba serikali ichunge mali ya mwananchi ikiwa ni kidogo, ikiwa ni kubwa serikali

iwe na mamlaka ya kuchunga mali ya mwananchi.

La mwisho ningependa kusema kwamba kupendekeza kusema kutakuwa na District level ya local authority ambaye local

authority itakuwa ikisimamia resources kutoka every district. Kwa mfano, maji huwa inatoka yaani mahali maji inatoka labda

imetoka katika sehemu moja ya district na inakunyiwa huko Nairobi ama Nakuru ama miji mikubwa mikubwa na

ningependekeza kwamba isiwe kuwa kama resources ya maji isiwe ikisimamiwa na water population ingesimamiwa na local

authority katika district. Ni hayo tu asante.

Com. Asiyo: Tumeshukuru sana sana Councillor kwa maoni yako. Tafadhali ungeandika jina lako, sahihi yako kwa register

yetu ndiyo tunjue hakika uliongea na sisi. Bw. Chesire hayuko? Haya kuna mama mmoja ambaye ataongea…. Chesire yuko?

Kama yuko angekuwa ameshakuja. Wapi huyo mama Julia afike hapa karibu? Jerome? Mama Julia songa hapa karibu

nilisema tusitoka hapa kabla mama hajaongea. Bw. Chesire shika hiyo kitu uongee halafu mama atatufungia. Sema tu kwa.

William Chesire:Kiit ne komoche amwa, omoche amwa ole; kisome serikali kochobwech serikalit ne mining ak ne mi

barak. (Speaks Kalenjin)

Translator: Ile kitu ninaweza penda kusema ni kwamba tungependa serikali atuangalilie kutoka ya chini mpaka ya juu

(interjection)

Com. Asiyo: Sema jina yake.

Translator: Ni William Chesire.

William Chesire:Si kobit kenyoru tuguk che negityin chong’indamik biik che mitei…….. akot akichek eng gaa.

(Speaks Kalenjin)

Translator: Ili tupate vitu vyote vitukarimbie kwa wananchi hapa nyumbani.

William Chesire:Kisome kogeerwech tuguk tugul serikalit amu ngekere kii tugul komuch keyaiwech tuguk

chemokinyoru kou eng fines kobetos ak keyae kasit ako makinyoru kii.(Speaks Kalenjin)

Translator: Tunaomba serikali pia ituangalilie kama mashilika kama cooperative ili tupate faida nazo kwa sababu saa ingine

74