TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kiptum arap Binnot:But customs are part of Kenyan laws.

Com. Asiyo: But not inheritance that is a very fundamental issue.

Kiptum arap Binnot: Mwisho watoto wanazaliwa na wazazi wawili. Kwa hivyo whoeveris going to default adhibiwe na

sheria. Asante.

Com. Asiyo: Thankyou very much kijana.

Com.Ayonga: Wewe unasema picha za presidents sizionekane kwa pesa, ukasema tuweke Mt. Kenya?

Kiptum arap Binnot: Nilisema tuweke picha ya the founding president sababu huyo ndiye alianshisa taifa la Kenya ama sivyo

tuweke Mt. Kenya.

Com. Ayonga: Na watu wengine watasema ni ya pande ile Waluyia wengine watasema Elgon, Wajaluo watasema tuweke

samaki, halafu Wakisii watasema sijui waweke nini… si hii sasa italeta shida?

Kiptum arap Binnot: Turudishe ya Mzee Kenyatta mwenye alianzisha taifa la Kenya.

Com. Ayonga: Asante yako yamekwisha ni yako wengine wana yao. Enda ujiandikishe.

Com. Asiyo: Ok Bw Kiptum arap Binnot. Sasa ni Joseph Lebor ana represent DP. Please give us just important points

because you have already written according to the document here just highlight the issues.

Joseph Lebo: Ok thankyou very much Honourable commissioner my names are Joseph Lebo Rob but you have two names

there I would like to use Swahili for the benefit of all. Nimeomba kwamba nitasema kwa Kiswahili mimi nawakilisha kwanza

maoni yangu kama Lebor na maoni ya Koibatek na ndani DP watapeana yao huko. Ya kwanza nasema kwamba katiba

nimeangalia nikapata kutokea Chapter 2 na propose kwamba president na vice president wasiwe na constituency

wachaguliwe direct na Kenya yote.

Ingine inayofuata ni kwamba vile katiba ya sasa imegaa kwa hawa watu wawili napendekeza ya kwamba iendelee hivyo. Kitu

ingine nimeona hapo ni kwamba kuna vitu vitatu executive, parliament na upande wa sheria kwamba itenganishwe ni kitu gani

itakuja kugaa katikati ya hizo vitu vitatu. Napendekeza kwamba uchaguzi wa parliament uendelee vile katiba inasema lakini

nataka kwa katiba ya sasa tuiweke nyumba ingine inayoitwa senate na hiyo senate itawakilishwa naman hii: Senate itakuwa na

senator moja kutoka kila district ya wilaya ambayo iko kwa sasa na siku sijazomtu moja ambaye atachaguliwa na district yote

mzima, moja tu kwa kila district. Tutakuwa na mwakilishi moja kwa kila district kutoka protestant churches ambaye atakuwa

63