05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Pia nimetoa maoni ya kwamba katika sehemu ya kifedha ni kwamba serikali isaidie katika hali ya ujensi vile kwa ile pesa

inapata kwa wananchi kupitia kwa kodi, isaidie polytechnics, kujenga barabara, health centers na hata miladi ya maji ambazo

ziko katika eneo hilo ambalo limepokea hiyo kodi.

Ingie pia ni kuhusu mambo ya kisiasa nikasema ya kwamba constitution itoe hifadhi za usalama kwa kila kikundi ama kwa kila

political party ingawa hata haina popularity yoyote itoye tu hifadhi zake. That means no political party should be harassed kwa

njia yeyote. Pia nigaandika ya kwamba constitution pia iangalie mambo ya income ya family especially wale hali yao ya

kimaisha iko hali ya chini sana. Yaani wale masikini ambao hawawezi kufanya jambo lolote wale ambao hawawezi hata

kusomesha watoto.

Com. Asiyo: Unapendekeza namna gani?

Ninapendekeza hivi, ya kwamba kila mtumishi wa uma ambaye ameajiriwa katika serikali, katika kampuni, katika mashirika ya

kiserikali, private bodies or international boadies wacontribute percentage fulani katika mshahara wao ili wasaidie hii maskini

hizi familia ambazo hazijiwezi. Tena nikaongeza nikasema hapa ya kwamba, mshahara ya hawa ikapate kuangaliwa. Katika

hiyo itategemea sasa. Hapa nikasema ya kwamba it should be at least not less than 1200 per annum. Kama kwa mfano

waalimu. Tunaona ya kwamba waalimu wetu wanafanya kazi ngumu kuelemisha mpaka hata tukapata wabunge, tukamata

marais lakini bado tunaona ya kwamba mishahara yao ni kidogo na kufuatana na hayo tunaona ya kwamba hakuna mtu

anatetea hao hata ingawa wanatetea hasikiki. (interjection)

Com. Asiyo: Ungesema pendekezo lako tafadhali.

Wilfred: Sasa pendekezo yangu ni hii waalimu, polisi, defence na hata madaktari waongezewe mishahara. At the moment,

mwisho (interjection)

Com. Asiyo: Toa la mwisho.

Wilfred: Haya mwisho pia ningependa kuongea kuhusu mishahara ya wambunge. Tunaona ya kwamba wabunge wanaongeza

mishahara yao huku (interjection)

Com. Asiyo: Wewe tuambie unataka tufanye namna gani?

Wilfred: Kwa sasa tunataka wabunge mishahara yao ipate kupunguzwa ili isaidie sehemu zingine kakika maendeleo ya nchi.

Com. Ayonga: Ipunguzwe mpaka …. (inaudible)

Wilfred: Ipunguzwe kwa kila Mbunge, awe ba elfu mia tatu na minister awe na mia tatu hamsini ikiongezwa na marufuku.

Com. Asiyo: Na ya mwisho?

Wilfred: Ya mwisho ni kuhusu mambo ya worship. Katika Kenya letu tunajua ya kwamba sisi ni waacha Mungu lakini

tunaona ya kwamba uhuru wa kuabundu imeenda mpaka tumeruhusu ibada za masanamu. Na kwa njia ingine tunaona hiyo

inaweza kuwa ni kiboko kutoka kwa Mwenyesi Mungu. Tunependa yaani kulingana na amri za Mwenyesi Mungu ya kwamba

Mungu pekee yake abudiwe. Kwa hivyo tungependa kwamba Wakristo wapewe hiyo waabundu Mungu pekee yake. Hii

mambo ya devil worshipping, masonic ipigwe marufuku katika taifa hili.

42

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!