05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ulikuwa bunge, mpaka wa leo unatumikia sisi Mungu awabariki na Mungu awaongoze. Na neno moja, (Com. Asiyo: ya

mwisho kabisa) nasema ukisema hii ni baya na unarudi kufanya hata wewe utabaki wapi? (Com. Asiyo: Na hiyo ni kweli na

hiyo ni mwisho) Mungu awabariki. (laughter)

Com. Asiyo: Asante sana mzee weka register pale na wewe bado kijana unakibia tu. Weka register hapo sahihi yako halafu

nani anafuata mzee? Nimesika kuna watoto wa shule wamekuja nawanataka kurudi kwa class tutawapatia nafasi waongee

lakini nasikia kuna vijana na wasichana na ni watatu tu. Kuna mmoja naitwa Geoffrey Kiplagat, moja ni Robert Mwangi na

mwingine ni Jackline nani? Tuanze na Geoffrey Kiplagat. Wale watoto wa shule where are they? Kunjeni hapa haraka kila

mmoja wenu. Kunjeni mkae hapa karibu. Wale watatu wanje wakae hapa karibu ili waongee haraka haraka wakimbie warudi

kwa madarasa yao. Huyo ni Geoffrey Kiplagat hebu gaa hapo chini uongee utafuatwa na Robert halafu baadaye ni Jackline.

Haya endelea sema jina lako kwanza.

Geoffrey Kiplagat: My names are Geoffrey Kiplagat from Mumberech Secondary School. We would like to propose that

nursery school teachers to be paid by TSC and the Ministry of Education to recognize fully. (Com. Asiyo: endelea) Also those

who are in need should be given bursary funds and establish a democratic body to see that who deserves bursary funds.

Because this is an important stage for child development of the mind. Also the nursery school teachers should be pure

graduates. Thank you.

Com. Asiyo: Thank you very much Geoffrey umesema mambo ya maana sana tumeandikisha ukiweka hiyo karatasi hapo

itakuwa mzuri na uweke jina lako. Sasa Bw. Mwangi wakati ni wako. Wewe ni Robert Mwangi? Haya endelea na uongee.

Robert Mwangi: My name is Robert Mwangi. In sport we would like compulsory for primary level. Physical education to be

made serious from nursery to far education. Colleges should be established for those who manage well in sports. Religious

subjects should be compulsory from primary level subjects. Teachers to be retrained for physical education. Upgrading

subjects after failing a subject it is advisable you repeat and so that you can perform well in that subject. Corporal punishment

should not be withdrawn. It should continue for our students so that we maintain proper discipline. Thank you.

Com. Asiyo: Thank you very much Robert tafadhali peana hiyo karatasi na uweke sahihi kwa hiyo register yetu. Sasa ni

Jackline. Sema majina yako yote halafu ufanye mapendekezo yako.

Jackline Jerotich: My names are Jackline Jerotich Chemnga from Mumberech Sec. School. I am here to present a

constitution on family. Girls should continue with their education especially pregnant girls if the responsible person is a student.

Then should ensure upkeep of the child and ahte mother to be forced to be responsible person. Then the person who has

caused pregnancy should marry this lady instead of suffering. Abortion should not be allowed to ensure that the girl child keep

the acceptable standards of morality. Contraceptives should not be free. This makes students irresponsible in their sexual

40

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!