TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
kwamba amefanya hii. What we want is the future. Not what one has done. Aseme ataenda kufanya hii na hii na hii na hii

nasema tuende secret ballot.

Jambo lingine ninasema miaka mitano na End of tape 2 side A. Cont. Side B: …….

Com. Asiyo: 30% pekee yake?

Job Kandie: 30% tuko wakati huu. Lakini 30% nimesema Madam.

Jambo lingine tumesema ya kwamba ministers sasa inatoa uwezo wa president. Ministers wachaguliwe na Wabunge. Yaani

kazi ya President, nikupropose, ku-recommend kulingana na vile amesoma watu kwamba anaweza kufanya hii. Wakifika

parliament wabunge wanajadiliana kuhusu wale wamekuwa proposed for adoption au reject waende nyumbani. President

ataendelea kupropose wengine mpaka bunge itapata wale ambao wanaweza kutuongoza katika wizara zetu.

Com. Asiyo: Sasa hao watuwa wizara, nataka utuambie watakuwa ni watu professionals wasiochaguliwa au watakuwa ni

wabunge wenyewe watajichagua?

Job Kandie: Watakati watu wamechaguliwa kutoka constituencies, the president at his will ana propose wale wangependa

kuchukua mamlaka ya waziri. Kufika huko parliament bunge itakutana na kujadili hao watu. (Com. Asiyo: wa wale MPs?) Wa

wale MPs. Kwanza wanakuwa MPs, hakuna minister anaweza kuwa huko. Wale wamechaguliwa wawe Wabunge, president

ata propose kwa wabunge huko wajadiliane huyu anaweza au hapana? Na wanauwezo ya kukataa. This is actually total

democracy. Rather than somebody saying so and so is the minster for agriculture na yeye hana akiri yalienda ya forest. That is

misplacement of knowledge.

Com. Asiyo: Haya endelea mbele. Karibu saa yako inaenda sasa.

Job Kandie: Tafadhali niliona unapea wengine karibu dakika kumi na tano. Allow me. I am putting very strong points.

(laughter)

Com. Ayonga: Mzee angalia hawa watu wengine wanataka kuongea.

Job Kandie: Nikibize tafadhali. Yes, Leadership, qualification of who is to be a councillor and which level of eduction. Yule

ataenda parliament ako na elimu gani. Kuna tofauti tofauti kabisa ya uongozi na kufanya kazi. Mimi nilikuwa mwalimu lakini

nilienda course ni kafaulu nikaenda kufunza. That is professional certificate ambaye nilikuwa naye. Ka hivyo uongozi ni tofauti

na kazi. Kwa hivyo historia inaweza ku-repeat itself. Tumekuwa Hamrabi the law giver of Babylon he made 82 laws for his

people. Alienda shule wapi? Tumekuwa na (inaudible) ya Wanandi Chairman of the council of elders, Lwanda Magere of

Luos; Sagawa Oguchi, Lenana of Maasai; Waiyaki of Kikuyu; Wang’ombe wa Embu – Meru; Nikendilili alikuwa mama

alikuwa mama pekee yake wa Giriama hawa walikuwa viongozi katika wakati huo huo walisomea wapi? Juzi juzi tumekuwa na

Martin Lurther King haya ule anaitwa Abraham Lincoln hata ukienda dollar ya America kichwa yake iko huko. Kwa hivyo

36