TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Walter: Nikitaka hapo kufafanua, (interjection)

Com. Asiyo: Hakuna haja. Tumemaliza. Sasa weka jina lako mzee hakuna mambo mengi. Tumejua ile ya kindani

tumeandika na jina lako wewe uandike yako kwa register. Sasa Bw. Jeremiah unaweza kuja saa hii sasa ni wakati wako.

Jeremiah Kiprono: Katiba ya leo, jina naitwa Jeremiah Jeruit Kiprono. Mimi nina maneno mawili. Ya kwanza maoni yangu

ningependekeza, serikali inakamatia sisi shule kuanzia nursery mpaka university. Halafu hata sisi tutaingia cost sharing. Sisi

tutalipa kodi kama zamani. Hiyo ya kwanza.

Ya pili, napendelea tuchague watu wa mitaa halafu wanakuwa sub-chief; unachagua sub-chief kupitia mlolongo na chief ya

location kwa maana sub-chief itakuwa daraja ya raiana serikali. Na sub-chief lazima awe na miaka ishirini na tano, na chief

awe na miaka thelathini. Kwa maana siku hizi kunaandikwa wale watu ambao hawajui kitu hata baraza hawawezi kupata wale

wanaenda retire. Sasa maoni yangu kuandikwe ule mtu amekoma.

Com. Asiyo: Kwa assistant chief au chief mwenyewe?

Walter: Assistant chief au chief.

Com. Asiyo: Hiyo tumandika hiyo. Hiyo ingine?

Walter: Hakuna ingine.

Walter: Asante sana mzee. Umesema mzuri. Na watu wengi sana wametueleza mambo hayo wa machief tutaona vile fikira wa

watu wengi wa Kenya itakuwa na itakuwa vile watu wengi wa Kenya wanavyopendekeza. Asante sana.

Com. Ayonga: Mtu wa miaka ishirini amekomaa?

Walter: Ishirini na tano. Hapana baya kama 18.

Com. Asiyo: Wale wa 18 bado hawajakomaa. Com. Ayonga (inaudible)

Walter: Bado.

Com. Asiyo: Asante sana sasa wewe andika jina lako pale mzee halafu kama ulikuwa na maandishi utuachie. Kwa wakati

huu namuita Bw. Hosea Kiplagat. Na yeye ni member wa AFCS hayuko? Kuja kuja. (voice: not yet ready) Mzee bado

31