TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Jacob Kipsui: Si vile watu wanasema? Na hiyo ikiwekwa yaani nilichangia hata kama nimelopoka baya…

Com. Asiyo: Umesema vizuri .

Jacob Kipsui: Hiyo nikiona hiyo ni kama kubomoa manyumba. Kwa maana siwezi kubali nikalie kiti ya mama na mama

akuje akalie kiti yangu.

Com. Asiyo:Eeh hata watu wataona vizuri ikiwa hivyo.

Jacob Kipsui: Kama watu hawatafurahi ninamalizia hapo. Wacha sheria ya mama ikae kama mama na baba akae kama baba.

Yule mlevi, yule mtu ambaye anaamka asubuhi

Com. Asiyo: Asaidiwe?

Jacob Kipsui: Eeh asaidiwe.

Com. Asiyo: Haya asante. Umefanya vizuri sana mambo hayo mzee equality hiyo watu wanaongea kwa Kiafrika ni kwamba

mama akiwa mgonjwa ama ameenda maternity kuzaa usiache watoto na njaa. Mambo kama hayo tangu zamani babu zetu

walikuwa wanafanya si mpya. Si ndiyo ni kweli?

Jacob Kipsui: Ni kweli. Yale sheria ilikuwako tangu zamani tangu wakati wa babu zetu ikae vile vile. Kama mama

amejifungua, mzee amsaidie. Kama mama ni mgonjwa, baba amsaidie. Lakini kama kila mmoja ni mzima kila mtu akalie kiti

yake, kazi yake.

Com. Asiyo: Bora tu akina mama wasiumie kwa kazi yao.

Jacob Kipsui: Sindio. (laughter)

Com. Asiyo: Maana wanaumia sana. Asante sana jiandikishe pale vizuri na sasa tunataka kuna mtu hapa anaitwa Geoffrey

Ngulati. Ukimaliza tutachukua Tessot Esau. Esau kuja hapa karibu tafadhali tunashukuru ukiwa karibu hapo. Haya ongea sasa

anza na jina lako.

Geofffrey Ngulat: Haya, Commissioners mimi ni Geoffrey Ngulat. So issue yangu inahusika na tenure ya elected officials na

appointed officials. And when I am talking about the elected officials, I am talking about people like councillors, MPs and

whatever.

Appointed officials are people like chiefs, DOs, DCs and what ever. We should have a system of disciplinary committee or

something like that or the complains committee, where some people misuse office for various reasons may be favourism,

57