05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kwa hapo karibu ametatua yangu chache. Kwa hivyo kazi ni rahisi kwangu. Na ninashukuru Mungu kwa sababu uongozi ni ya

Mungu. Na leo ni kama sawa sawa Mungu ameshuka vile Musa alileta amri kutoka sinaa. Na Mungu anapenda sisi Wakenya

sana. Kwa sababu ametupatia sisi tutatue tunajua ni gani na gani. Kwa hivyo sitachukua sana ni kusema juu ya rais.

Rais achaguliwe kama vile ilivyo hata sasa kwa sasa ambayo in ya nani. Lakini, iko kitu moja ambayo ninahitaji niweke moja

tu. Rais nahitaji rais mwenyewe, akikosa asifukuzwe na Wabunge. Raia ajulishe na makosa yake, kama makosa imeshika yeye

aondoke. Kwa sababu waamue kwa sababu wakiacha mwizi na yeye amesimamia wizara zote, akiona wizara hii ni baya si

atengeneze? Na asifikilie mwizi. Akisosa wizara zote akikosa rais amekosa. Na wabunge wawe wasaidizi wetu wa hudumie

Wakenya kwa jumla. Kwa hivyo rais aondoke. Na neno ingine, Wakenya wote mahali wako ni moja.hakuna ule anajulikana

eti mwingine ni wa pande gani. Nataka kuwambia sili nyinyi wananchi. Unaona viwete wanakuwa wengi, ni kwa sababu

mmeona tu hapo mpaka mmeharibika. (laughter) Wakati mwingine leta msichana huko, leta nini huko ndiyo unaona watu

wameharibika kichwa. (laughter)

Com. Ayonga: Endelea.

Com. Asiyo: Tutaleta msichana kutoka wilaya ingine endelea tu.

Yangu ya pili, elimu. Kwa Kenya elimu imesonga. Ninaona nikipima ni miaka arobaini ya Kenya kusoma. Kwa hivyo ina

elimu ha kutosha. Hakuna nchi imbayo iko kama Kenya na watu wamesoma. Kwa hivyo watoto kutoka nursery mpaka

university serikali isimamie masomo na mwananchi asimamie kitu kidogo tu. (clapping) Sababu ukisema eti mimi nisomeshe

watoto nimelima shamba mpaka shamba imekwisha. Kwa hivyo serikali ichukue masomo kwa jumla.

Ya tatu hospitali. Ile sisi tunalipa elfu mia tano ni ile sisi tulisomea. Kwa hivyo hata mchumari ukiingia ndani ilipwe shilingi mia

tano na ni mtoto wangu na nilisomesha nilipeleka mpaka ng’ambo? Kwa hivyo hospitali ichukuliwe na serikali na mshahara ya

daktari aone asije apelekwe ng’ambo ingine apatiwe pesa ya kutosha.

Jonah: Ya nne, ni mambo ingine ambayo sijui mimi najua mtu (interjection: inaudible) nimependekeza namna hii kwa hakika

kifo?? ametuua sana na kwa sababu jambo moja utajiri imetumaliza. Unaona tajiri anauwawa, police anauwawa, kila mtu

anauwawa kwa sababu kwa kukosa mahali, mwizi anauwawa. Watu tatu wameleta kifo katika nchi hii. Na kama angekuwa hii

title aondolewe, watu wetu wamesoma, tuna wenye kuchunga ng’ombe vetinary, tuna agriculture, tuna heath, tuna wabiashara

na hii maneno tunazungumza si yetu hata sasa, ni ya kuanza miaka kumi na tano na elfu mbili. Si ya sasa ya kusema kesho

tumebomoa hiyo tumerudisha title, lakini, (interjection)

Com. Asiyo: Tufanye namna gani?

Jonah: Tunahitaji mashamba iwe mkono ya serikali nikihitaji kulima kutoka hapa mpaka huko, serikali ananipatia. Ili namna hii,

hiyo ni mapendekezo yangu,

38

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!