05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kuongea. Kama hayuko sasas tumpate Gabriel Korir. Bw. Gabriel Korir uje uongee saa hii tafadhali na nyuma ya Gabriel

tutamsilikiza Samuel Bunei. Samuel uwe tayari na yule mama atafutwe.

Gabriel Korir: Thank you Madam and other Commissioners. My names are Gabriel Korir. Langu nataka kuongea kuhusu

mashamba. I want to talk about the land ownership. Nataka nisome halafu nieleze kidogo kwa Kiswahili. The constitution of

Kenya should come up with a resolution sealing landownership. Every Kenyan should at least if possible own land within a

region.

I will say that in Kenya we have – nataka kusema tukiwa Wakenya mahali popote tunajua ya kwamba kuna mashamba kubwa

kubwa ambaye hatumiki . Kwa mfano (interjection)

Com. Asiyo: Lakini usitupatie mfano utupatie what you want us to write. (inaudible) Unajua tuko na list kubwa sana

Gabriel Korir: Ok thankyou, Nimependekeza ya kwamba mtu yeyote mapendekezo yangu ikiwezekana mtu yeyote akiwa

na shamba tusime ikiwa ni kubwa zaidi ni acre mia moja. Na yule ambaye anafuata tuseme ni number two, aweze kuwa na acre

hamsini. Halafu sasa yule ambaye hana shamba lolote, apewe shamba. Mimi naongea kuhusu within the region. Yaani watu

ambao ni wagaaji wa hapo sio mtu kutoka pale akuje pande hii apewe shamba. Mimi naongea kuhusu m tu yeyote ambaye

hana shamba kwa wagaaji ama mahali anatoka.

When we come to government trustee land kuna mashamba makubwa makubwa ya serikali kama serikali inatoa hiyo shamba

ama ni shamba ya serikali, asizidi acre elfu moja, more than one thousand acres.

Point number 3, any land grabber or anybody or a common man, Executive, Legislature, or Judiciary should be sued in

particular region . Nimesema ya kwamba kuna watu wengine wanachukua tu shamba mbila kutoa idhini ya kwamba hii

shamba ni langu ama nilipatia kwa njia mzuri lazima huyo mtu apeleke kortini, ni lazima huyo mtu achunguzwe vizuri hiyo

shamba alipata kwa njia mzuri ama kwa njia ile ingine baya.

Com Asiyo: Next one?

Gabriel Korir: The last and not the least, land not well utilized be leased to the common man within the region. Nimesema ya

kwamba kama mtu anaye acre mia moja na hatumii hiyo shamba hiyo shamba lazima akomboe apee watu walime. Sio shamba

ilale bule apee watu.Tukisema kwamba this country of ours is agricultural country so(interjection)

Com. Ayonga: Why do you have to use two languages? Unasema Kiingereza halafu unatafusiria nani?

Gabriel Korir: Nilikuwa natafusiria wale wazee ambao hawasikii.

Com.Ayonga: Kwa hivyo utumie Kiswahili kwa hivyo sisi wote tunasikia.

70

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!