05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

anakuja kukata miti hapa lifeline hatuoni faida. Sasa iko haja gani tuwe na forest na hatuoni faida?

Hosea Langat: Tunapendelea iwe ile pesa inatoka kwa forest 80% inakuja kwa wakulima wananchi hapa. Halafu 20%

(interjection Com. Asiyo inadible). Hapana sio kwa kila mtu.

Com.Asiyo: Kwa nani?

Hosea: Itakuja kwa district hata ikuje kwa DDC halafu ikifika kwa DDC igawanywe kulingana na project ya serikali yenye

wananchi wanaendelesha sasa.

Com. Asiyo: Ok. Next.

Hosea: Nafikiri hayo nasema asante.

Com. Asiyo: Tumeshukuru sana. Mambo ya forest ni ya maana sana na tumefurahi kwamba umeongea sasa unaweza

kuweka sign . Hiyo document uliandika ni yetu wachia sisi. Hiyo sasa ni mali yetu huwezi kuchuka tena. Ndio asante sana.

Kwa sasa ningependa Bw. Job Kandie na Bw. Kandie utafuatwa na Kipkului Cheriro Haya mzee naona dakika tatu wewe

umetendeneza sawa sawa utatuachia lakini ongea kwa muda mfupi..

Job Kandie: Asante sana mwenye kiti. Jina langu ni Job Kipkong Kandie. Langu ni the structure of the government. Mimi

nina pendekeza katika katiba mpya, tuwe na majimbo, regional government. Na niko na qualifications, bona nime propose.

Ningeonelea kwamba Wanakenya wenzangu wa support regional government tuwe na 8 regions kwa Kenya. Kutokea

Mombasa iende Coast Region, mpaka imalizike. Now, Bw. Mwenye kiti composition au vile inaweza kuundwa, ni ya kwamba

tutakuwa na Wabunge wawili waende regional assembly. Waani kutoka kila district, na angalao with at least one man

representative wawe watatu. Halafu moja member kutoka municipality. Iwe 3 members of regional assembly. Now, Bw.

Mwenye kiti, hii itasaidia serikali ifikie watu. Na huko tutakuwa na central government yaani ni parliament ni kama umbrella ya

majimbo hizi zote kuangalia kwamba kitu gani kinaendelea kwa kila jimbo. Now hapo mwenye kiti Commissioner, tena

tutakuwa na mtu ambaye ana coordinate kila region na huyo mtu ni lazima aombe kazi aandikie regional electoral commission.

Hii ina maanisha ya kwamba tungekuwa na regional electoral commission ana apply aonyeshe kiwango chake cha elimu na awe

mzaliwa ya region hiyo. Anajua utamaduni ya region hiyo kiuchumi na kisiasa amezaliwa na amelelewa katika region hiyo.

Yeye atakuwa regional coordinator. This is to say now it is absolute sense that the DC is not there.

Com. Asiyo: Coordinator huyu ndiye PC?

Job Kandie: Coordinator amechukua mamlaka ya PC Huyu mtu ni lazima achaguliwe kulingana na kura ya sili. (Com. Asiyo:

Ya wananchi?) Ya wananchi katika province hiyo. Kutoka Turkana mpaka Loitoktok. Let mzee talk to us, ili aonekane

anaweza kuongoza watu. What I am saying, tunataka serikali ya watu by the people and for the people. Hii serikali ni yetu.

Hatutaki DC ambaye anasema mimi nimechaguliwa, mimi ni serikali na sisi ni serikali. That is leading people into demacracy in

totality.

34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!