05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Jacob Kipsui: Asiingie kwa sector yoyote kama amekosa kosa fulani aondolewe. Kuna vijana ambao wamesoma.

Com. Asiyo: Haya next?

Jacob Kipsui: Na jambo la mwisho ni mambo hii ya kuajiri vijana kazi. Kuna kitu inaitwa favourism. Eti kijana anenda

kuomba kazi kwa kituo fulani unasikia eti yule anayesimamia hiyo kazi ya kuajiri vijana eti anasema unajua nani? Akiwa huku

juu, kijana nasema sijui mtu yeyote na kuja kuomba kazi anaambiwa jaribu next year. Sasa kama familia hawajapata mtu

kuwakilisha huko ofisi kubwa kubwa hiyo familia ibaki na umasikini hiyo hiyo tu?

Com. Asiyo: Kwa hivyo unataka namna gani mzee?

Jacob Kipsui: Iangaliwe masilahi ya kila mmoja. Hata kama ni maskini, hata kama ni tajiri iwe ni masilahi moja.

Com. Asiyo: Mambo ya employment?

Jacob Kipsui: Mambo ya employment asije isiwe eti fulani ako na kubwa fulani kwa hivyo aandikwe huyo.

Com. Asiyo: Asante sana next?

Jacob Kipsui: Ingine tunasikia eti, naomba ladhi najua wengi watasikia vibaya, lakini nitasema, mambo ya kusema equality.

Equality kwa kazi ni sawa lakini kwa mboma ama nyumba, nyumba ya watu mama ajue akiwa nyumbani yeye ni mama, na

baba ajue yeye ni baba.

Com. Asiyo: Hata kama ni mlevi?

Jacob Kipsui: (not very audible) Mambo ya ulevi hata mama analewa, hata baba analewa mambo ya ukubwa kila mtu akae

na hali yake. Nikichangia hivyo nikisemekana eti bwana na bibi wawe sawa na nyumba itapolomoka (interjection: inaudible)

Mama wawe wakitabulikana kwa kupika. (laughter) Hiyo

Com. Asiyo: Hiyo umesikia wapi mzee? Hata mimi ni mama na bado sijasikia.

Jacob Kipsui: tunasikia hiyo mambo inasemekana eti mama akipika saa sita mzee jioni.

Com. Asiyo: Lakini mzee hebu nikuulize, sasa hata hii mambo ndogo ndogo ya kupika tutaweka kwa katiba kweli?

56

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!