TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
William Mmaitsi: Yeah. Uchaguzi wa Rais, ufanywe kado na ule mwingine wa Wabunge (interjection)

Com. Asiyo: Mbele au nyuma?

William Mmaitsi: Utafanywa nyuma. Tutangulia hawa wa madiwani twende bunge halafu twende Rais.

Com. Asiyo: Na kama atachaguliwa Rais ambaye hana watu kwa Bunge? Kwa maana Wabunge wote wamechaguliwa?

Halafu kuchaguliwe Rais ambaye pendine hana watu kwa Bunge itakuwa namna gani? It is possible.

William Mmaitsi: Yeye ni Rais na ni kiongozi wa ndowa. Kwa mapendekezo yangu tumesema kiongozi wa serikali ni

waziri mkuu.

Com. Asiyo: Na huyu President awe MP wa bunge au awe president?

William Mmaitsi: President pekee yake. Mbali na kuzaa na zile asilimia ishirini na tano that is uchaguzi wa Rais, awe amepata

asilimia ishirini na tano katika mikoa mitano. Lakini huyu ni lazima awe ni kiongozi ambaye anawasilisha matakwa ya walio

wengi. Kwa hivyo, ikiwa kuna waombeaji watano hivi ambao wanagombea urais, halafu kuonekane ya kwamba yule ambaye

ameshida ako na kura may be kati ya kura elfu kumi ako na kura elfu nne na yeye ndiye anaongoza haakilishi matakwa ya

waliowengi, kwa hivyo tuwe na ule uchaguzi wa pili. Ambapo mshidi ya pili, na mshidi wa kwanza, watabaki kung’eng’ana

tena.

Com. Asiyo: Ok next? (inaudible)

William Mmaitsi: Bado wacha nilike ingine kwa sababu naona wakati. Kuna hii tatizo la ardhi. Ninapendekeza ya kwamba

mtu awe na kiwango chochote cha ardhi ambaye anaweza kuwa nayo. Lakini bora ile ardhi iwe imetumika to the maximam.

Inatoa mazao ambayo tutakuwa na kamati (interjection Com. Asiyo: Kamati ya kufanya nini?) Kama hatumii kutoa, itoe mazao

ambayo ni ya kutosheleza basi board ipewe uhuru wa kunyakua ile shamba itanyakua kwa kununua, kuchukua pesa ipewe

mwenye shamba ile, aachane na shamba kwa sababu shamba hatutaki ilale tu. Halafu baadaye wale wanagaa sehemu hiyo na

hawana mashamba, waambiwe kujeni kwa shamba hapa donor inawauzia.

Com. Asiyo: Next?

William Mmaitsi: Kulinda wamama, wanawake, napendekeza ya kwamba wanaume wengi siku hizi wameoa nyumbani

halafu pengine wanaenda mijini wanapata kazi wanaishi huko, wanapata mabibi wengine wa kado, wanaoa pia. Hawa kado ni

welevu sana. Wanaambiwa twende kwa DC wanachukua wanaoana. Wale wakinyumbani waliolewa kinyumbani, wanabaki

nyumbani. Halafu sasa shida itakapotokea, mzee akiaga, kutatokea mng’ang’ano wa urithi. Napendekeza ya kwamba, ndoa

zote hizi za kienyeji ziwe registered.

23