TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Ungesema namna gani? Umesema free education.

Julius Seronoi: Kwa upande wa kulipa walipe gharama ndogo.

Com. Asiyo: Na wale wasio nayo kabisa?

Julius Seronoi: Wale wasi…

Commissioners: Waachwe wakufe?

Julius Seronoi: Hapana waachwa watapewa tu.

Com. Asiyo: Wapewe bure?

Julius Seronoi: Eeh. Nimemaliza.

Com. Ayonga: Sasa mzee enda huko ujiandikishe.

Com. Asiyo: Asante sana Mzee Julius kw amaoni yako. Sasa tunamuita mzee Walter Rop, akichelewa tunataka Jeremiah

Kiprono au Hosea Kiplagat. Wewe mzee ni nani? Wewe ni Jeremiah Kiprono? Walter Rop hayuko? Bona nilikuita mbele na

hukuja? Wewe kuja mbele ya Jeremiah maana wewe ndiyo number kumi na nne. Halafu mzee Jeremiah uwe karibu tayari,

uanze kuongea. Na kwa sasa kwa maana watu wana zidi kujiandikisha ni wengi tunataka kusikia maoni ya kila mtu sasa

tusifanye hadithi tuweke kwa maana yale mambo ya mhimu sana ambayo inahusu kutengenesa katiba mpya peke yake mbila

hadithi.

Walter: Asante sana Commissioner,(interjection: jina kwanza) Walter Kiprotich Rop. Asante sana Commissioner, Mbunge

wetu wa Karachuonyo ambaye ni minister wetu wa zamani, Bw. Pastor, na wakiri wake maofficer na wageni watukufu, langu,

(interjection)

Com. Ayonga: wewe unajua hii mamboya siasa huko Karachonyo tusije tukasikia kwamba Bi. Asiyo ndiyokuna mjumbe

mpya anaitwa Bi. Asiyo. Hiyo ni makosa.

Com. Asiyo: Nilikuwa zamani nikwacha.

Com. Ayonga: Alikuwa akawacha. Wewe unasikia watu wa siasa wakisikia hiyo na wale waandishi maneno wanaandika

29