TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
napendekeza tuwe na vyama vitatu vya kisiasa. Kwa sababu hii vingine tumeona imekuja vingi kabisa.

Com. Asiyo: Three political parties. Next.

William Mmaitsi: Halafu katika uchaguzi, na pendekeza mayor achaguliwe pekee yake, kwa kura ya wananchi na huyo

mayor lazima awe amesoma mpaka amepata degree.

Com. Asiyo: Degree au …?

William Mmaitsi: Chuo kikuu, degree kuendelea.

Com. Asiyo: Kwa mji yote ya Kenya kubuka..?

William Mmaitsi: Kenya yote.

Com. Asiyo: Kenya yote? Are you serious?

William Mmaitsi: Very serious. Hatutakuwa na maana ya kuhimiza elimu ikiwa watu watachukulia elimu kwa maana basi

hakuna haja ya elimu. Elimu iko, kwa hivyo watu wasome ili nyadhifa zitakapotokea kama hizi we have qualified people.

Com. Asiyo: Lakini Bw. Mmaitsi, njia ingine ambayo tunaweza kupata watu wenye hekima kwa kuongoza? Sasa kuna watu

wana Ph.D na ni walevi hawajitabui jina saa zingine? Unataka tuwe tuchukue mtu kwa njia ya elimu tusipoangalia desturi na

mwenedo yake na njia zake za kuishi?

William Mmaitsi: Mbali na degree, maadili hayo mengine nimeandika hapa kwa hivyo maadili hayo mengine yako. Atafuata

hayo. Lakini lile ambalo nilikuwa nataka litiliwe maanane ni elimu. Kwa sababu (interjection inaudible) kwa mayor. Wenye kiti

wa mabaraza tunataka wawe form four. Hatutaki wale watu ambao hawajui kusoma hawawezi kuinterprete government

policies namna hii. (interjection)

Com Asiyo: Sema ni ya county council, wawe form 4?

William Mmaitsi: Wawe form 4 na pia wachaguliwe na raia.

Com. Asiyo: Na wananchi?

22