05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

to history. For history to be remembered the portrait of the two presidents should appear the first president should appear in

the portrait of the coin that is the coin should appear in one coin, hundred shilling and then the next one, the next president,

those two presidents, who have served for a longer time should actually appear in the two, in our coins in Kenya. The other

presidents will only be serving for only 10 years and less, therefore, it should actually be like America we have Washington who

actually ruled in 19 (interjection)

Com. Asiyo: Yeah we understand that one.

Kipsindo Bett Siro: And then we have Lincoln who is actually in the coins of America. And then there should be also our two

presidents who have served Kenya should actually appear in that category.

Retired persons. Retired persons should actually be considered, for example we have somebody who is actually be considered

for example we have somebody who is earning 300/= upto now, who was earning 300 in 1970 and is still earning 300 which

actually cannot even buy lunch when he goes to bring that amount of money. That one should actually be considered. ( End of

side A Cont.. B ) So that is all I have.

Com.Asiyo: Thank you very much Mzee umesema vizuri tafadhali uandike unaona kama sikuuliza ungenda na mambo muhimu

sana nyumbani na hungesema. Na wewe unangojea ni kutafute ndiyo uongee. Sasa nataka kuwapa asante sana kwa wale wote

ambao walifika kutoa maoni yao, nataka kuwahakikishia ya kwamba maoni yenu yalikuwa ya mhimu sana na itatusaidia

kutengeneza katiba ya Kenya mpya na mataarisho mengine mtakuwa mkielezwa mara kwa mara vile mambo yatakuwa kwa

sasa ningependa kuuliza mzee mmoja au mama mmoja aje hapa mbele atuombee kabla hatujaondoka ndiyo na sisi tutembee

salama tukienda kule Potana kwa mkutano ingine. Tutaenda kule Rumbwa sasa inaitwa Kipkerion. Hebu mtu aje atuombee ili

na nyinyi mrudi nyumbani salama salamini na sisi tuende Kipkerion kuongea na watu wa huko salama salamini.

Maombi

Gabriel Korir: Wazee wote mtue kofia zenu tumshukuru Mungu. Hebu tuombe. Baba katika jina la yesu, Baba na Roho

Mtakatifu, tunakushukuru tunaliamini jina lako, tunainua jina lako, asante kwa wema wako, asante kwa upendo wako, ulinzi

wako, huduma yako, asante kwa dakika hii, asante kwa kuwa umegaa na sisi tangu asubuhi tangu tulipofika kikao hiki. Baba

tunakushukuru tunalimini jina lako, tunainua jina lako. Asante Kristo kwa sababu ulikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.

Tunasema asante kwa sababu umekuwa pamoja nasi. Yote ambavyo tumeongea iwe baraka kwako. Kama kuna chochote

tuliguza ambacho hakikupendekeza uoshe na damu yako, ewe Mungu uishie milele.

Asante kwa hawa Commissioners, ambao wamefika hapa, asante wametupa mengi na tumeongea mengi, Kristouwe pamoja

nasi. Tutakapoachana katika kikao hiki tunaomba baraka kutoka kwako tufike salama salamini manyumbani mwetu hata hawa

macommissioners tunawakabidhi mikononi mwako, wanapoendelea kufanya hii kazi uwa bariki washilishie baraka zao

waminizie ukae pamoja nao. Tunaomba pia baraka utupatie katika hapa kwetu, Mumberes. Asante Yesu, asante Kristo, asante

79

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!