05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

the president be for ceremonial.

Com. Asiyo: Ulisema ni ya mwisho.

Javan Lagat: Ya mwisho kabisa I want to talk about international laws. You find that international laws deal with may be

kutumiwa kwa nchi za anga, ama maji, like for example Indian Ocean. Tunataka serikali ichukue sehemu yake na nchi ambazo

zinapakana waelewane if it is fishing or whatever it should not be given restrictions by international laws but they they should

present themselves that – wapewe nafasi ya kujieleza na vile watakavyotumia.

Ya mwisho ni kuhusu herbalist. Herbalists shouldbe recognised in hospital. Thank you.

Com. asiyo: Ok thankyou very much Bw. Javan

Com. Ayonga: Unasema pesa za cess hutumiwa vibaya na MPs na ukasema zirudishwe kwa wananchi. Tunaukweli gani

kama zikirudishwa our MPs hawatumii pesa mbila ya kuwa na mikutano na wananchi na tumeshaona cooperatives nyingi

mambo imeharibika na hali watu wanayoharibu ni wale wale ambao wamechaguliwa na cooperators wenyewe. What

assurance do we have hata hiyo inapofanywa hivyo ni MP wanapofanya hivyo, don’t you think we need to change from our

hearts rather than kusema huyu akifanya hivi irudishwe kwa fulani hapo tutapata wokofu?

Javan Lagat: I think it should come to the local community through council of elders.

Com. Ayonga: Na council of elders ndiyo wameharibu cooperatives?

Com. Asiyo: Nafikiri watu wa cooperatives wengi ndiyo wanachaguliwa na cooperators ndiyo wengi wao huharibu pesa ya

wakulima. Si ndiyo hivyo? Kwa hivyo pengine ungependekeza kwamba itafutwe njia kamili ya kuchagua watu ambao

watakuwa na msimamo unaofaa. Na pia ungetuambia kwamba kukitokea mambo kama haya ya ufisadi au kuharibu pesa ya

wakulima au wale cooperators hawa wafanyiwe kulipa pesa hiyo yote. Hata kama ni kuuza mali yao, ilipwe. Lakini MP

ukiweka kwa mambo haya hiyo sio kazi yake. Anyway thankyou very much for your presentation

Com. Kangu:… (inaudible) nenda ufikirie.

Com. Asiyo: Ufikirie na ukifikiria uandike hiyo ni kitu muhimu sana kwetu mambo ya cooperative. Halafu mpe coordinator

atatuletea kule juu. Asante sana kwa maoni yako. Javan Lagat: (inaudible)

Com. Asiyo: Tarehe kumi na tano. Kwa hivyo andika leo leo halafu sisi tutabeba. Bw. Reuben Tanui yuko? Are you

representing the youth? Ok you have writtten you statement and we will take it as a whole so only highlight by very few words

the important points. Because we are going to take the whole (inaudible)

Reuben Tanui: Thank you Madam Commissioner, my names are Reuben Keptai Tanui. I think I should start by expressing

44

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!