05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Harun Kandie: Mimi nafikiri hiyo tukiweka upande wa wananchi wakilalamika kwa kutumia Commissioner yao.

Wanamwambia sasa huyu mjumbe wetu, amewacha sisi, na aitwe kama akiitwa anakataa kukuja kwa kusikia maoni ya

wananchi vile wanataka, basi, itaandikwa kwa kupitia Commissioner, huyo mtu hatutaki.

Com. Asiyo: Huyu Commissioner ni nani?

Harun Kandie: Kama District Commissioner wetu.

Com. Asiyo: Ok asante.

Com. Ayonga: Unataka aitwe kwa ile district mambo yake waongee hapo, ashidwe asishidwe.

Harun Kandie: Yeah.

Com. Asiyo: Halafu akishidwa uchaguzi mpya.

Harun Kandie: Uchaguzi uwekwe mpya.

Com. Asiyo: Na yeye asimama au ?

Harun Kandie: Sasa atasimama wapi na wananchi ndiyo wametoa yeye hafanyi kazi.

Com. Asiyo: Haya basi.

Harun Kandie: Ni hayo tu.

Com. Asiyo: Asante sana mzee nenda ujiandikishe pale jina, na kama uko na karatasi utuachie tumeshukuru. Sasa tunakuita

mzee Willie Yagan na kama yule Walter amekuja ananafasi pia. Kama William hajaingia William Mmaitisi, ameingia? Yeye

yuko? Haya kuja. Wewe ni William Mmaitisi? Very good tafadhali kuchua microphone utueleze mambo kinaga naga vile

unavyotaka katiba mpya na ukubuke tunaandika katiba mpya leo. Kwa hivyo andikisha vizuri.

William Mmaitsi: Asante sana Macommissioners ambao wamebarisi na sisi siku ya leo nafikiri mimi nitakuwa tu na machache

(interjection: Sema majina) Mimi ni William Mmaitsi. Nafikiri mengi ambayo ningesema nimeyaweka katika memorandum hii

yangu. Kwa hivyo, ufupi tu ningependekeza ya kwamba taifa letu la Kenya bado ni taifa changa sana kisiasa. Na kutakuja

msuko suko huu wa vyama vingi. Napendelea ya kwamba, ili tutuliz, tudumishe umoja wetu ambao bado ni mchanga

21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!