TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
hapa na kutoka hapa.

Halafu health, on the health sector ningetaka hivi, because today we are told we have been given that power to make the

constitution tunataka (Com.Asiyo: inaudible) daktari yeyote aka katika public sector asiwe na clinic hiyo itazuia wizi wa

madawa n.k.

No. 7 na niya mwisho ni pension ya parliamentarians. Tumesikia hii contraversial issue, wawe pensionable after two terms na

sio one term na wengine wanaenda kule kwa kufluke. Nafikiri kwa hayao asante.

Com. Asiyo: Asante sana. Nataka kukujulisha pension ya watu wa bunge hata sio kitu kikubwa. Mimi nilikuwa kule zaidi

ya miaka kumi na tano na ninapata shilingi elfu sita na mia tano kila mwezi na hiyo si pesa kubwa. Asante sana chief. Sasa

ningependa kumuuliza Bw. Samuel Maina afike karibu nilikuwa nimemita hapo mbele na kama hayuko tupate Leah Samoei.

Tungependa sana akina mama waongee Leah Somei hayuko? Kama Leah Samoei hayuko wapi Koskei Silas? Kimbia uongee.

Lakini mtu aende atafute huyo Leah mpaka alete yeye. Bw. ?? tafadhali tutafute huyo Leah mpaka tupate yeye. Akina mama

au wameenda shambani? Lakini angekuja aongee ndiyo arudi shambani.

Silas. Kosgei: Thank you for this opportunity, my contribution will be brief since those who have come before me have

mentioned at least a coverage of what I intended to. My names are Silas Kosgei. I would like to contribute to this commission

that we should have a govt. that has good governance. This govt. therefore, should be administered or may be have a

watchdog behind it. The government therefore, should provide free education, to all Kenyans, free health services to all

Kenyans anybody who is born a

Kenyan should be given these services free of charge by the government. The government also should improve the recreational

facilities to provide good habitation for the people of Kenya.

Five, the hawkers, remuneration should be dealth with by a body to avoid contagious salary leading to misappropriation of

government funds. Idlers in the Kenyan govt. should be dealth with by the law. They should be rehabilitated may be

somewhere for a period of time. To make every individual in Kenya productive towards the government because we have a

problem we are crying that our country is undergoing economic crises while we have a lot of people being idle.

Pollution this creates problems especially when it comes to people’s health, therefore, there are a lot of pollutants in Kenya.

Anything that leads to pollution of the government should be looked at accordingly to the law. That is my contribution.

Thankyou.

Com. Asiyo: Thankyou very much Silas lazima uende uandike jina lako. Kuna mtu ambaye anaitwa Lebora angependa

69