05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

mengi ya kusema lakini wacha niseme moja. Moja tu. Hata chairman ya county council, hata mayor wachaguliwe na watu.

Wakuje nje na wauze policy yao, wakishauza policy yao watajulikana kwamba they are fit kuenda kuwa chairman au kuwa

mayor. Basi kwa hayo machache Bw. Commissioners nisamehe nimechelewa.

Com. Ayonga: Asante. Ukichelewa si utakuta watu wameongeza watu wengine mishahara wewe hukuwa.

Com. Asiyo: kwa sasa ningependa Bw. Koila Abraham Bw. Kloila Abraham tafadhali na wewe uki maliza tutamuliza Charles

Sitenei sijui kama alikuwa ameongea kuna Sitenei alikuwa ameongea hapo mbele. Lakini fika hapa mbele karibu utaongea.

Bw. Koila Abraham utafuatwa na Bw. Charles Sitenei.

Abraham Koila: Asante sana Commissioners, Vile tuko hapa vile tuko hapa nafikiri hata Tume ya Yash Pal Ghai, sorry

samahani, majina ni Abraham Koila vile ilikuwa imetamkwa nataka kusisitiza jambo moja hapa kama vile Tume ya Yash Pal

Ghai ilivyo hata wakati huu haijui pahali inaelekea kwa sababu hawana uhakika ya kumaliza kazi hii ama kabla ya mwisho wa

mwaka huu ama itaruka hadi mwaka ujao. Na wakiwa hivyo, kuna wale wanafanya bidii kuhakikisha wa kwamba kazi hii

imeisha kabla ya mwezi wa tisa na kuna yule mlegevu pia, anahakisha ya kwamba hii kazi iende mpka mwezi wa nne. Kwa

sababu gani? Labda anataka marupurupu izidi kuja. Navyo ni hivyo kwa wabunge wetu hivi sasa. Kwa sababu kuna hii

mambo ya petition wakati results zimetangazwa. Results zikizatangazwa, if somebody has gone to court kunistaki kwamba

mimi si mbunge kihalali nitakuwa huko kuhakikisha ya kwamba ninapoteza wakati bila kufanya chochote. Kwa sababu incase

of anything, naweza tolewa baada ya miaka miwili.

Com. Asiyo: Sasa Bw. Koila unataka namna gani? Kwa maana ngoja kwanza, mambo ambayo umeongea juu ya katiba

nitakueleza baadaye, lakini nataka kwanza nisikie mapendekezo yako.

Abraham Koila: Ndiyo nilikuwa nalegea, mapendekezo yangu ni kuwa kura zote zihesabiwe katika polling station. Na

kuwe na tribunal kutoka kwa polling station, ya kuhakikisa ya kwamba kukiwa na hitilafu yeyote, itatuliwe hapo papo. Halafu

results ya polling station, zitakuwa cumilative zitachanganywa na zile kutoka other polling stations, so that tuwe na results, na

baada ya results, hakuna mambo ya kukataa kuenda kortini kusema yule hakushida. Yote itaishia baada yakutangaza, so that

when you have gone to parliament you are sure you are going to serve people for the next 5 years. Thank you.

Com. Asiyo: Is that all?

Abraham Koila: Yeah, for that point.

Com. Asiyo: But please you have the document that you are going to give us so just highlight the important points.

Abraham Koila: Thank you very much, now I think I will go to the powers of the President, the powers of the President

should be limited. First and mainly the worst thing is the appointment of judges or judiciary in general.

Com. Asiyo: What do you recommend?

Abraham Koila: I recommend this one should go to the parliament. Because I cannot appoint somebody and when I am

49

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!