05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

usaidizi lakini haikutosha. Hiyo itatupatia fikira zaidi juu ya usaidizi unaweza kutosheleza watoto ambao wanazaliwa na

walemavu. Sasa unaweza kwenda pale uandike kitabu chetu jina lako ili tujue kwamba uliongea na sisi siku ya leo. Asante

sana. Yule alikuwa anamfuata Margaret Atieno ni Joel Samoei atafuatwa na Samuel Maina.

Joel Samoei: Waheshimiwa, majina yangu ni Joel Mutai Samoei na mimi ndiyo area chief kwa hivyo ni furaha yangu kutoa

maoni yangu kwa kuwa nimefahamishwa kwamba tunahaki sawa siku hii ya leo kutoa mapendekezo yetu kama wazalendo

ama kama Wakenya. Basi waheshimiwa Commissioners, yangu ingawa sijaandika nimechukua tu notes kidogo nimeandika

ambayo nitasoma. Kwa hivyo nichukuliwe kama hii ni oral presentation. Nafikiri kwanza nitaanzia sijui, isichukuliwe kwamba

najitetea (interjection)

Com. Asiyo: Una haki.

Joel Samoei: Basi nitaanzia na hiyo Provincial Administration mahali ambapo napatikana na nitasema kwamba kwa kweli sio

vibaya tukisema kwamba tuchaguliwe moja kwa moja lakini ningesema hii isiwepo mbali tuwe selected by the government. Hii

ni kwa sababu ya kwamba sisi tuna kazi ambayo inataka msimamo ulio firm, that is firm stand. Na hii kama ni sheria kwa kweli

hatuwezi tukawa compromised kama tumekuwa selected by the government. So interviews of course maana ake tukipitia

interview tunaulizwa maswali mengi na hapo inapatikana kujulikana ni nani anatosha kufanya hiyo kazi.

Com. Asiyo: Wewe ungependekeza Machief waandikwe na serikali?

Joel Samoei: Waandikwe na serikali tusije tukawa compromised maanake nikichaguliwa nitaserve mahali votes imetoka.

That is like a councillor. Tunarepresent serikali katika ground na councillor anarepresent maoni ama interest ya wananchi.

Kwa hivyo let us not be make like councillors.

Halafu nitaenda point ya pili this is something to do with the Judiciary. Nitasema tuna mambo mengi ile naweza ita backlog ya

kazi ambayo imegaa katika judiciary department. Ningependa wafanye decentralization tuwe na mwakilishi katika kila division

tuseme kama magistrate mdogo wake.

Com. Asiyo: Umesema vizuri, (inaudible).

Joel Samoe:Wakuje mpaka division level na at least hiyo judiciary department watrain wazee fulani on basic laws ili watusaidie

hata katika locational level. Na ningependekeza kwa mambo ya crimes. Kuna crime moja ambayo imekuwa notorius hii ni ya

rapists. Ninapendekeza katika hiyo the new katiba iwekwe kwamba rapists afungwe custodian sentence ambayo not less than

15 years. Kuna ingine ambayo ni another notorious vice ambayo inaharibu society na hii ni ulevi wa kupindukia and in this case I

am particularising this on dealers ama watengenezaji wa pombe. Katiba ijayo iwe na sehemu ambayo the dealer with every

evidence afungwe custodian si ile community service order. Afungwe ndani not less than 10 years. Afadhali katiba itengenezwe

kwa jia ambayo tutapata space kwa prison. Maanake we have a reason kuwa prisons zimekuwa congested. Afadhali

zitengenezwe zitoshane. Hao watu waondolewe kwa jamii ili wawe rehabilitated for 10 years halafu wakuje.

Another issue ni mambo ya population. Tumefikia mahali ambapo tumekuwa, sisi kama agents wa serikali on the ground

tumekuwa tukifundisha watu mambo ya family planning and it has reached an extent it has reached a degree where it now fit, to

67

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!