TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Charles Sitienei: Labda amekuja ku-invest Kenya na ameacha wazazi kwao. Tunataka (inaudible) (interjection: Com

Ayonga inaudible) Ingine mambo ya federal government ni mzuri sana, imeserve America, Canada, Ugerumani, wako federal

states. Ya mwisho ni mambo ya surveyors. Hii masurveyor wanakula watu hii wanaitwa land board. Inamaliza watu kabisa

maskini. Hiyo kitu iondolewe na (inaudible) ianzie nyumbani. Mambo ya mashamba ianzie nyumbani kwa wazee. Lakini

maneno ya land board na nini hiyo ingine kwa hii katiba inakuja hiyo kitu iondolewe.

Com.Asiyo: Watu wengi wamesema hivyo.

Charles Sitienei: Wamesema, Ok asante. Ilikuwa ya mwisho kama mko na swali mniulize. (laughter)

Com.Asiyo: Umesema vizuri sana, kabisa hakuna swali. Sasa ninamuuliza Bw. Jacob Kipsui utafuatwa na Geoffrey.

Jacob Kipsui: Asante sana Bw. Commissioner. Maoni nilikuwa naye, kwa majina yangu ni Jacob Kipsui. Na kwa maoni

yenye ningechangia mengi yake yamesemwa. Na kuna jambo moja ambaye ninaona wananchi hawajagusia. Nimesikia

wamegusa gusa mambo ya mshahara kwa civil servants, na kuna jambo moja ambayo sijasikia mtu akitaja.

Commissioners: Taja hiyo.

Jacob Kipsui: Kuna huyu mtu anaitwa mkulima, huyu mtu mkulima ni ni mtu wa mkongwe wa taifa hii letu. Na kwa hii katiba

ambayo inaundwa saa hii, sijasikia mtu ambaye anataja kuhusu huyu mtu.

Com. Asiyo: Wewe taja huyu mtu sasa.

Jacob Kipsui: Huyu mtu amenyanyaswa vilivyo.

Com Asiyo: Sasa tufanye namna gani?

Jacob Kipsui: Amenyanyaswa hivi anapolima shamba lake, mazao zake zinatoka vizuri, anapouza hakuna malipo haswa

sana hata wakati hii upande huu wetu tuko na shida ya pareto. Na tukiuliza inasemekana eti pesa iko. Na hiyo pesa nani ako

naye? Kama hajalipa mkulima ndiyo awezeshe kuendesha hizo kazi zake atafanya namna gani hiyo kazi?

Com. Asiyo: Unapendekeza namna gani?

Jacob Kipsui: Ninapendekeza iundwe kamati ambao inachunguza kazi ya mkulima kuanzia mdogo hadi mkubwa.

Com.Asiyo: Si iko ile board?

54