05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Jacob Kipsui: Hiyo board hatujaona kazi ambalo anatusaidia.

Com. Asiyo: Kwa hivyo ifutwe?

Jacob Kipsui: Ifutwe na iundwe ingine

Com. Ayonga: Iundwe ingine ya aina hiyo hiyo?

Jacob Kipsui: Ah ah, inaweza…

Com. Asiyo: Ichaguliwe na wakulima?

Jacob Kipsui: Ichaguliwe na wakulima wenyewe.

Com. Ayonga: ….. hiyo ya pareto si wanachagua watu na wakulima?

Jacob Kipsui: Hata kama wanachagua…

Com.Ayonga: Hata mimi nilikuwa mkulima wa pareto na tunawachagua watu kwa society wanaopanda kwa vote. Kwa

hivyo tena tuende kuchagua mpaka wapi?

Jacob Kipsui: Ni ma-directors. Unakuta mwingine director anachaguliwa na ule ako within. Unasikia eti Mr. so and so

amechaguliwa awe director ya mazao fulani na ninauliza je, hii sector ya ukulima haina faida katika nchi yetu? Na kama iko na

faida kwa nini asiangaliwe kwa njia yoyote ambayo inasaidia yule mkulima anatoa mazao yake?

Com. Asiyo: Wewe unataka mkulima ndiye atachagua ma-director kwa board.

Jacob Kipsui: Eeh ndio. Haya jambo lingine niingie upande wa KCC. Juzi wakulima walilia, pesa zao zilipotea hata saa hii

wakulima bado wanadai KCC na juzi juzi tukasikia eti Director fulani ambaye sitaji jina lake

Com. Ayonga: Tena hiyo ndiyo tunataka ufisadi.

Jacob Kipsui: Amechaguliwa aingie kwa pyrethrum board. Na kuingia hapo shida ya pareto ikaingia hapo. Na hatujajua ni

nini. Kuna mtu inaingizwa huko halafu ananyonywa na mwingine ma ni nini?

Com. Asiyo: Sasa wewe upendekeze. Tuambie vile unataka. Akitoka pale asiingie mahali pengine?

55

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!