05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ya presidential powers umeongea, tutaona tutalinganisha pamoja na maoni ya kutoka kwa watu wengine. Naona Pastor

anataka kusema jambo lingine pia.

Com. Ayonga: Nitakuambia kitu nikikuuliza swali.Je umeishasoma juu ya Act of Parliament 3A ambayo ndiyo tunayofanyia

kazi? Umeshaisoma juu ya Act hiyo.

Abraham Koila:Bado.

Com.Ayonga: Tafadhali uende usome Act hiyo. Kama tunayo tungekupatia maanake ok, huyo atakusaidia, kwa maana

itakuambia vitu ambavyo commission hii inapaswa kufanya na vimeandikwa orodha, ufanye hii, ndipo ufanye hii. Ufanye hii

ndipo ufanye hii. Na hii inachukua this much time,unaona? Kwa hivyo msije mkatuingiza kwa siasa. We are doing a job

ambayo tulichukua kiwapo. Tutafanya kufuatana na Act of Parliament, unaona? Kwa hivyo, hebu na usome hiyo itakusaidia na

utaona nuru mpya.

Sasa swali langu lingine kwa maneno uliyosema, umeongea juu ya corruption, ukasema kama nilikusikia vizuri kwamba

corruption ili kuitoa nchini ingepewa opposition iyangalie hayo mambo….

Abraham Koila: Si opposition, naeleza ya kwamba corruption unit iundwe na opposition.

Com. Ayonga: Ok, iundwe na opposition. Ikiwa inaundwa na opposition, wewe huwezi kuona ya kwamba opposition

ingalipenda kuangusha government kusema ni corrupt through this machinery?

Abraham Koila: Not necessarily.

Com. Ayonga: Si necessarily, lakini sisi ni binadamu, nikipewa nafasi ya kusema, tafuta makosa ya Abraham, hata nitasema

unaona jinsi anasimama? Unaona jinsi anavyo cheka, alikuwa analia badala ya kucheka?

Abraham Koila: I agree with you Sir, but one thing is kutafutia mwingine makosa ni afadhali kuliko kuambiwa nitafutie

makosa.

Com.Asiyo: Umesema vizuri sana, hebu nikupe one example, nyuma ya IPPG kuongea ilikuwa kwa bunge, na ninajua ya

kwamba opposition pamoja na KANU walipewa nafasi ya kuleta watu katika electoral commission. Wale wapya ambao

waliletwa, kuna watu watatu waliletwa, na ndugu zao baba moja mama moja, kutoka kwa opposition. Kwa hivyo usema

binadamu na usiseme mambo ya opposition au serikali because kama sivyo hawa watu hawangelete their own brothers to that

commission. Wangetafuta watu wengene wazuri kwa hiyo chama chao. Asante.

Abraham Koila: Thankyou.

51

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!