05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

mwanamke au kila bibi arithi mali ya bwana ake iwe joint ownership. Nafikiri yangu ni hayo tu mtaona mengi iko hapa.

Com. Asiyo: Nafikiri kuna swali nafikiri mzee una swali.

Com. Ayonga: Tumekuwa tukiongea juu ya Kenya moja na umesema mashamba iwe mali ya community itakuwaje kwa

mashamba ambayo tayari watu wengine wameshapata outside their communities ikiwa tutafanya mashamba yawe chini ya

community? Swali la pili, tunaweza aje kufanya Kenya moja kama kila community itajikalia kwa maana unajua mashamba

ndiyo yanaunganisha watu?

Joseph arap Sambu: Sawa sawa wacha ni jibu hiyo. Asante. Nimesema mashamba iwe ya community sikusema tutagawa

watu kwa makabila. Watu kwa mfano hapa Equator tuna makabila mengi tuna Wasomali, Wajaluo, Wakisii, Wakalenji,

Wakipsigis au nani, nani. Ningesema community ni wale watu wanaoishi hapo, si mambo ya ukabila ukabila hatutaki hiyo.

Community ni wale watu ambao kama sasa mfano, shamba inaitwa Mumberech, watu wa Mumberech wenyewe waangalie

mambo yao ikiwa na makabila haya. Hii italeta umoja mbila shaka. Fikira yangu ni hiyo.

Com. Asiyo: Asante sana. Na kwa hivyo ungependelea hivi unavyosema kwamba mamboya mashamba, mambo ya land

kama kuna ugovi ama kukosa kusikilizana watuwenyewe wawe na kamati ya kujadilia mambo haya mbila kupeleka kortini au

ungependa iende kortini?

Joseph arap Sambu: Asante sana kwa sababu ni swali nzuri sana. Vile nimependekeza katika mapendekezo haya yangu

nimesema ya kwamba uongozi utoke kwa village kila village iwe na kamati ya wazee. Council of elders. Na hii kamati ya

wazee wawe na uwezo wa ku-solve ama kutatua zile kesi ndogo ndogo. Kama ng’ombe yako ikija kwa shamba yangu inakula

mahindi hakuna haja ya kuenda kortini. Pengine tukipitana na bibi yangu kwa ndani ya nyumba, hii council of elders waamue

mbila kuenda kortini. Na hivyo hivyo kwa location, kwa district, kwa province.

Com. Asiyo: Hiyo nimefahamu. Lakini umependelea serikali ya majimbo kitu ambacho ninaona hujatueleza, ni kwamba

serikali hii ya majimbo pengine umeandika pale ni nani atakuwa muongozi wa hiyo serikali? Atakuwa governor au atakuwa

chairman na ninani watakuwa wanabunge wa hiyo bunge?

Joseph arap Sambu: Asante sana Madam. Nimesema hivi katika mapendekezo yangu. Kila location watachagua watu fulani

kama watu tano, wawe represented katika district council. Na kila district watoe mapendekezo ya watu ambao wataenda kwa

regional au provincial council au mnaweza kuita assembly au chochote. Na yule responsible mkubwa wa huko wao wote ni

chairman wa council awe kama kiongozi sasa wa hiyo council au hiyo kudi.

Com. Asiyo: Ok mkubwa wa region atakuwa chairman sio governor?

14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!