TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Julius Seronoi: Hapana kula yote inachukua percent.

Com. Ayonga: Haya sema. Percent ngapi?

Com. Asiyo: Kama ni nusu kwa nusu…

Julius Seronoi: Wachukue tu 25%

Com.Ayonga: Wachukue 25%.

Com. Asiyo: Na wannachi wabaki na 75%.

Julius Seronoi: Wabaki na 75%.

Com. Ayonga: Sawa kabisa. Hapo sasa umesema kitu. Na hii health services pia hukutuambia umesema watu wa

Mumberech hapa mnashida ya watu wanapokuwa wagonjwa na hukutuambia mnataka nini kifanywe ili hiyo shida itoke?

Julius Seronoi. Ninataka ijegwe mahospitali kwa sababu hatuna mahospitali.

Com. Ayonga: Unataka moshospitali yaongwezwe?

Julius Seronoi: Eeh.

Com. Ayonga: Lakini madawa unapata kwa haya yalioko?

Julius Seronoi: Hakuna.

Com. Ayonga: Hakuna? Si basi upendekeze unataka nini? Mzee hutaki dawa?

Julius Seronoi: Mimi nataka dawa.

Com. Ayonga: Na unataka aje mbila kusema? (Julius Seronoi: Nataka.) Sema nataka dawa. Haya.

Com. Asiyo: Lakini mzee kwa watu masikini ambao ni wagonjwa unasema unataka dawa na unajua hawajalipa na hawana.

28