constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
11

Ya mwisho, tuko na mambo ya ndovu. Wale wanyama wa pori, wanaua watu. Mtu akiua ndovu, idara ile ya Serikali inaingia ile

area na kubeba mtu sijui na nini. Lakini mtu akiuliwa na wanyama wa pori, huo utaratibu unaenda pole pole mpaka miaka kumi.

Na malipo ni kidogo. Mtu anaweza kulipwa elfu thelathini. Sasa si mtu ako na thamana* kuliko mnyama wa pori. Ni vizuri

kuandikwe, ile mtu ambayo mtu anastahili kulipwa.

Com. Bishop Njoroge: Pesa ngapi?

Palashina Ole Sunkuri: Hata kama ni milioni mbili.

Clapping from the audience.

Palashina Ole Sunkuri: Maana imeua mtu. Unajua maisha ya mtu kulipa. Saa ingine hauwezi kulipa mtu, nikuambie ulipe huyo

mtu maanake ako na thamana* yake. Kwa hivyo kwa mazungumzo yangu, ninafikishia hapo. Ninasema asante. Asante kwa

maneno hayo mazuri.

Com. Bishop Njoroge: Philip Leshinka. Hatutaki kusikia watu wakifanya makelele. Ikiwa kuna mtu anataka kuzungumza na

mwingine, anahitaji kutoka nje, akimaliza mazungumzo, anarudi ndani ya nyumba. Kikao hiki ni kikao maalum, let us give this

place the dignity it requires.

Philip Leshinka: Asante, kwa jina naitwa Philip Leshinka na maoni yangu ni kama yafuatayo. Kwanza tunaanza na MP,

mwakilishi wa area. Utakuta ya kwamba MP akichaguliwa, kuna wengine ambao hawezi kabisa ku-deliver. Kwa hivyo

ingalikuwa ni vizuri, wananchi wapatiwe mamlaka tena wamuondoe mbali na election ifanywe afresh. Pia kabla MP

hajachaguliwa, ingalikuwa ni vizuri sana, yule MP angaliweza kukaguliwa aeleweke ni mtu wa aina gani. Ni mtu mfisadi ama ni

mtu ambaye ni kamili. Ili asiingie katika Bunge na kuanza kutumia yale mamlaka, either kujitajirisha ama kufanya mambo

mengine ambayo hayapendezi wananchi. Kwa sababu tunamweka pale kama mwakilishi wetu, aweze kuendeleza masilahi yetu.

Jambo la pili ambalo nachangia ni juu ya President. President awe ni President aliye na mamlaka ili aweze kuendeleza nchi. Na

kabla ya awe President, akaguliwe ajulikane ya kwamba ni mtu ambaye kweli anaweza kuendeleza wananchi, ana experience.

Si mtu tu ambaye atakuja kuleta mambo hata pengine hawezi kujua ataendeleza wananchi namna gani.

Pia Presient asichaguliwe kama MP. Awe amechaguliwa kama President wa nchi kwa sababu akichaguliwa kama MP, an

elected MP, kwanza ataangalia masilahi ya area yake. Na kwa hivyo ni vizuri awe sio sitting MP. Pia, President akiwa na

mamlaka na mamlaka hayo ayatumie vibaya, sisi wananchi ndio tulio mli-elect, na kwa hivyo mamlaka yetu wananchi