27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

42

walizoahidiwa na Serikali hapo awali. Kama ni mshahara wapewe kwa sababu waliahidiwa. Au kama aliyeahidi aseme alikuwa

wapi wakati aliahidi. Kwa hivyo wapewe nafasi wajieleze na wapewe haki zao kwa sababu wakiambiwa watafutwe sababu

wanaitisha haki zao, wataletwa wale wengine ambao hawana ujuzi, pia kama madaktari hivo hivo.

Katika upande wa elimu, kuna bursaries ambazo zinatoka kutoka kwa Serikali na tungeomba zipewe watoto kutoka makabila

zote wakati zinapogawanywa kwa mashule. Tusiambiwe eti wewe umetoka karibu na Kiambu, upelekewe huko, wewe

umetoka wapi upewe huko. Kama ni hapa, wapewe watoto wote wale wanahitajika kupewa ambao hawana uwezo wa

kuelimishwa. Wafanyi biashara pia hapa au sehemu zote labda nchini, wananyanyaswa na Serikali ya Wilaya sijui kama ndio

wanasimamia upande wa County Councils. Ma-licences inakuwa juu zaidi, watu hawaridhiki hata kama wanalipa lakini

wanalipa shingo upande. Kwa hivyo hapo, pia waangalie kama watapunguza. Kwa sababu hakuna kitu tunaongezewa, ile pesa

tunaongeza. Lakini hiyo biashara au vitu vina nini……na soko isiwe huru sana. Wananchi wanaumizwa.

Kuna wafungwa: Wafungwa pia katika nchi tunaona hakuna haki. Unakuta hata kama ni mtu amechukuliwa kama suspect hapa,

pahali popote hata kama si hapa. Unakuta anachukuliwa kama tayari amefanya ile kitu na kumbe hata hakuna investigation

ilifanywa. Akihukumiwa kufungwa, anateswa, hali ya kutosha au pia wanawekwa kama magunia ya mahindi katika cell.

Ningeomba waangaliwe.

Nominated Councillors kama wale labda wataanguka upande huu, waangaliwe kama yule ambaye alikuwa namba mbili

kushindwa. Kwa hivyo wasichague tu, fulani kama ni wa DP, upewe DP. Kama ni KANU, lazima wachague nominated kutoka

kwa .

Ya mwisho kuna hizi enquiries zinatengenezwa na Rais kila wakati. Unasikia labda mtu ameuawa, enquiries zinaundwa Nairobi,

zinakaa miaka sita, sisi tukingojea tusikie baada ya mwaka, inakaa miaka kumi, labda mwingine amezeeka na hatajua ni nini

iliendelea. Tungeomba wawe wakichukua huo wakati kwa muda mfupi na kutupatia ripoti haraka.

Mwisho, ningesema….

Com. Bishop Njoroge: Katika sheria iliyoko ni kwamba Commission za Enquiries, Rais amepewa mamlaka, ikiwa kuna kitu

anataka kujua kwa ajili ya Serikali yake, anaweza kuitisha Commission of Enquiries, na sheria haijasema ni lazima awaambie

wananchi. Isipokuwa mpende hiyo sheria iondolewe. Lakini kulingana na sheria iliyoko, hana wajibu wa kutuambia amepata

nini. Kwa hivyo ni juu yenu kusema, tunataka ikae au isikae. Lakini sio makosa yake kwamba hakusema. Kwa sababu sheria

inamruhusu kufanya nini? Kufanya hivyo.

John K. Gichia: Nilikuwa nikisema, kuliko labda kuna ripoti tunangoja tusikie mahali alifanya kitu fulani. Isichukue miaka

mingi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!