constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
45

Ya pili kwa upande wa tax: Zile pesa za tax, kuna pesa ambazo Serikali ilikuwa imepitisha kitambo, ilipwe wale watu ambao

wako katika eneo la… wako jirani na eneo la game reserve na national park. Kwa sababu watu hawapati. Ya pili, ni mambo ya

school bursaries, school bursaries tunazungumzia pesa zinazopatikana kwa National Parks, gate fee. Imekuwa ya kwamba

every National Park within Kenya ni kwamba itasaidia wale watu wako kwa community. Lakini haikuwi hivyo.

Tungelipenda sheria iangaliwe vizuri kwa sababu zile pesa ambazo zinapatikana kwa kila National Park, hazisaidii wale wenyeji

wa eneo lile. Wanapeana 1% badala ya kupeana nusu kwa nusu ambapo ingesaidia the local people around the National Parks

and Game Reserves. Amboseli National Park, Chyulu Hills National Park, Tsavo West National Park, tungeliomba ile sheria ya

1952 ambayo ilikuwa imewekwa kwamba hawa ni wenyeji, irudishwe na iangaliwe kwa sababu hawakuuza. Hakuna sehemu

ambayo wazee walikaa katika eneo hilo na waka-sign kwamba Serikali imechukua hiyo sehemu kama National Park. Waulizwe

tena na iwe reviewed. Tujue ni kwa nini hiyo area ilienda na hatujui ni kwa nini. Kwa hivyo tungeliomba na tunahakikisha ya

kwamba sisi Wa-Maasai wa eneo hili pamoja na Maasai Mara na Wataita kutoka Tsavo West, tumeanza (inaudible)

sanctuaries zetu, kuonyesha Serikali ya kwamba tuna uwezo wa kuweza ku-manage our national reserve and tax irudi kwetu.

Elected Councillors: Elected Councillors and Chairmen should be elected by the people themselves katika grassroot.

Nominated Councillor mimi ningeonelea kwa maoni yangu ya kwamba hatuoni kazi ya nominated Councillor tukiwa na elected

Councillors kwa sababu wamechaguliwa na sheria ya elections. Kwa sababu hawa nominated wanachaguliwa na wanachama,

wanachaguliwa na MP wa area hiyo akikupenda. Kwa hivyo nominated Councillors out. Wale ambao wamekuwa elected na

Election Commission iwe hivyo. Pia hapo wachukue tu miaka mitatu na waweze kubadilishwa. Asante.

Com. Bishop Njoroge: Unajua kuna shida kwa sababu akina mama, wengi hawachaguliwi Bunge. Kuna watu kama disabled

ambao hawawezi kuingia Bunge, kwa sababu hawezi kufanya campaign kama wale wengine. Hutaki tuache nomination kama

iingie special groups? Hiyo itaweza kuwa namna gani?

Daniel Molunkei: Nafikiri kulingana na sheria kwa upande wangu mimi. Nafikiri mtu yeyote ambaye huwa elected ni kufanya

siasa zake. Nimewahi kuona Kenya mtu ambaye hana miguu na ametembea na amekuwa Mbunge. Kwa hivyo sijaona sababu

mtu yeyote kusemekana ni mlemavu na anataka kuwa Mbunge ama Councillor. Kwa hivyo kwa upande wangu, mtu ambaye

anataka kuwa amechaguliwa, kuna ile sheria ambayo iliwekwa. Kuna sheria ambayo ilikuwa imewekwa. Kwa hivyo sio sababu

ya hiyo. Kama kutakuwa na special groups, kwa upande wa watu wowote. Basi itatangazwa. Kutakuwa na special ambapo

kila mmoja ana uwezo. Kwanza siku hizi akina mama ndio wako na nguvu zaidi kuliko wanaume. Ni wengi zaidi.

Com. Bishop Njoroge: Wacha tuongeze kidogo. Katika ile Act ambayo inaongoza Commission hii, inasema kuna kitu inaitwa

National Constitutional Conference na hiyo ndio itaamua ile ripoti ambayo tutaandika iwe Katiba. Katika hiyo National