27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

19

kusemekana watu wa Nairobi - nikisema Nairobi, hamtapata maji hawawezi. Now, port ya Mombasa ndio mnapeleka mavuno

yenu na watu wa Mombasa wakisema kutoka leo port…kuna nyingine ambazo zitadumishwa na Serikali na zingine zidumishwe

na Jimbo?

Paul Njuguna: Ninaposema hivyo, nasema ya kwamba, maji hayo huwa yanauzwa hata hapo Nairobi, lakini hizo pesa maji

inapouzwa, zirudishiwe wananchi walioko pale.

Com. Bishop Njoroge: Alais Ole Kisonokoi

Alais Ole Kisonokoi: Neaku ta pe airo ena enkutuk ormaasai. Ore ta ene dukuya kaji Alais ole Kisonokoi.

Translator: Ninaitwa Alai Ole Kisonokoi.

Alais Ole Kisonokoi: Na ara ata olopeny ena area le Ntonet ene naamanya.

Translator: Mimi ni mwenyeji katika area ya Endoneti.

Alais Ole Kisonokoi: Ore maoni ai na iji eikunino.

Translator: Maoni yangu ni kama yafuatayo,

Alais ole Kisonokoi: Ore enchoto edukuya naishari ana Amboseli, ana Tsavo na kijoito enkop ang apa neshomo mikiyiolo

kaoitoi apa eshomokie.

Translator: Ile ardhi yetu kama Tsavo West, pamoja na Amboseli, tunasema sisi kama Wamaasai ni ardhi yetu na

imenyakuliwa.

Alais Ole Kisonokoi: Nikijo oi teneshukunye alotu enkop ang ana ake.

Translator: Tunasema ya kwamba, tungehitaji irudi ama irudishwe kwa wenyewe.

Alais Ole Kisonokoi: Amu ore nena nguesi na iyiok leitu ear amu ikiyiolo muhimu ene na iyiok otapala.

Translator: Maana wanyama wa pori ni sisi kama wenyeji wa Maasai, tulikataa kuwaua kwa hivyo tulikuwa tunajua umuhimu

wake na hata hivyo hatuku….

Alais Ole Kisonokoi: Kigira aomonu ore inakop ang apa kinitapalie nena nguesu naba neija nearita iyiok nearita

nkishu ang nimikiata napatao nikitumito ikidolita ajo enkop apa nashomo tenkoitoi nguesi.

Translator: Tunaona ya kwamba nchi hiyo yetu imenyakuliwa na wanyama wale wako hapo wanaendelea kuumiza wenyeji.

Na tunaona ya kwamba hiyo nchi imenyakuliwa kwa njia mbaya. Kiasi ya kwamba ni kama kulikuwa na mpango wa Serikali

kunyakua hiyo nchi ili Wamaasai waumizwe na wanyama.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!