27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

20

Alais Ole Kisonokoi: Nikijo ikiningu ake ejoitoi ore nena nguesi netara kumpk neeta eneba.

Translator: Huwa tunasikia tu….

Alais Ole Kisonokoi: Atejo ore to nguesi kining ajo eleki kake eitu aikata kidol ilo olaaki.

Translator: Watu wengi wanaumizwa na wanyama na tunasikia ya kwamba wanalipwa na mpaka wa leo hatujawahi kuona

mtu amelipwa.

Alais Ole Kisonokoi: Ore nena nguesi naarita iyiok na iyiok otapala eitukiar nikijo oi peshukunye aku enang pekilaki

ate nena nguesi near iyiok amu mikijo pikiishu amu kitodua ajo keeta faida kop.

Translator: Tunasema ya kwamba wanyama wako katika area yetu, na area ni yetu. Tunasema ya kwamba turudishiwe hiyo

area maana hatutamaliza wanyama lakini tutakuwa tukijua vile tutajilipizia wanyama wanapoumiza watu.

Alais Ole Kisonokoi: Ore peaku enchoto enkisuma na ikidol ajo kijo pe ishoru serikali enkisuma e pesho kuanzis

nursery mpaka university.

Translator: Tunasema ya kwamba kupitia upande wa elimu, tunaomba elimu ya bure, Serikali iruhusu kutupatia elimu ya bure,

kutoka ngazi za chini nursery school mpaka University.

Alais Ole Kisonokoi: Ore ena majimbo nikiyieu.

Translator: Tungependa majimbo irejeshwe.

Alais Ole Kisonokoi: Kake me ikiyieu enikijo pe kingoro ajo ena abila o ena amu kira ormaasai iyiok oitayu

lowakaaji leine neaku neishori ina majimbo.

Translator: Kusema majimbo tupewe sio kwamba eti ni kusema ya kwamba Wamaasai wenyewe waende wenyewe, lakini

tunasema mkaaji wa ile sehemu awe na jimbo katika jimbo hilo hilo. Awe ni kabila ya aina yeyote ile.

Alais Ole Kisonokoi: Amu ina kata kitum airita kuna mali napuku tiatua iyiok.

Translator: Maana ndiposa tutaweza kuchunga rasilimali zetu ili ziweze kutusaidia.

Alais Ole Kisonokoi: Ore pe eaku ena shoto olaiguenak na iji, kijo si ina ore olaiguenani peton ak edou pe eta egeli

oshi tata olaiguenani orministai obo.

Translator: Upande wa Ma-Chief, tunasema ya kwamba, Ma-Chiefs wanaweza kuwa wanachaguliwa na mtu mmoja.

Alais Ole Kisonokoi: Negelaki iltunganak kumok lena area.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!