27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

67

tenkaraki entasat amu nayiolo apa enkisuma,amu eitu aisoma apa. Kake ore na nanu tena kata kayieu nayiolou

maanake enkisuma na keyieu naaret ake serikali tenkaraki ina kisuma amu kidolita ajo kiti duo siadi ntasati ormaasai.

Translator: Kusudi ya kusema kuwe na elimu ya bure, wamama wengi siku hizi hawana mabwana na wana watoto na hawana

uwezo. Hakuna mzee wa kuweza kusimamia yule mtoto kusomesha, kwa hivyo angeomba Serikali iweze kutoa elimu ya bure

kwa kila mtu ili wale hawana uwezo wapate kunufaika na elimu.

Dorcas Makuleiyo: Nayieu ore tena kata enkisuma niyieu nipikipiki maanani oleng amu ore tena kata eyanalu nguvu

neshukuni ake enkerai amu atala embuku. Na tenkaraki mata engolon amu maitore olchamba paamir, nemaitore

engiteng paamir.

Translator: Angeomba Serikali pia itoe vitabu katika mashule ili watoto waweze kuwa na faida ya masomo kwa sababu watu

wengi hawana uwezo wa kununua hata vitabu. Kwa hivyo Serikali itoe vitabu.

Dorcas Makuleiyo: Ore ta amu malo enda amu meyieuni neiroro naleng amu ata nai nkumok nalimu, nayieu ore

tiatua siaitin esirikali neingoruni sininche eneikuni ntasati nayiolo enkisuma onemeyiolo peretoki tiatua ina siai petum

sininche entoki naingori nena kera enye.

Translator: Angeomba Serikali ipate kujali akina mama na wapewe ngazi za juu katika Serikali maana hata wao wamesoma

na wanaweza kuendesha nchi kama wanaume.

Dorcas Makuleiyo: Nayieu naomon ena serikali pejoki kulo arikok lang likiata peingor iyiok naleng tiatua enkisuma

amu kira iltunganak lemeyiolo onyo kake ore tenkaraki baa pookin erikore na keyieuni neingori ngoro iyiok peidim

ninye aitaruoshi nine ntasati.

Translator: Angeomba Serikali ama viongozi wale ambao wako katika ngazi za juu, waangaliwe sana ili wawe wakiangalia

upande wa akina mama. Kwa maana viongozi wengi wanapochaguliwa kama Wabunge, Madiwani, hawajali akina mama. Kwa

hivyo wajaliwe sawasawa.

Dorcas Makuleiyo: Neta nalotu aishiraki ol DO ajoki elio iji nayieu nangamu naleng amu ara oltungani oshal nara

oltungani nemeta ontoki naitore pejuk ormaasai e kweli meta entoki nintore.

Translator: Basi hata kwa upande wa Provincial Administration ama upande wa ofisi ya D.O., ofisi ya Chief, ipate kuwa inajali

masilahi ya akina mama.

Dorcas Makuleiyo: Enyoito si enkoraki iyiok erikore amu kiyieu siiyiok ntasati ningorakiki iyiok lorikan amu kinyoito

apa asuj intae nemeeta esiai nincho iyiok. Kiyieu na tata nikijing erishoto ena kata.

Translator: Kwa wakati huu sisi akina mama sasa tuko sambamba kung’ang’ania viti kwa hivyo wanaume hamna bahati.

Dorcas Makuleiyo: Meta aitabaiki ine amu mayieu naipitisha enkata amu ata nai nkumok nalimu kake…

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!