27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

40

watu, inamtuma mtu wao wa kuwakilisha kule. Lakini hili jukumu naona labda halingepatiwa political partie au labda President

au anybody else. Tuipatie special groups in the societies.

Tume-experience tortures mingi na polisi, wakati wanashika watu. Labda unaanzia kuwa tortured na naona kuna sehemu kwa

sheria za Kenya inayosema. Somebody is innocent until proved guilty. Sasa hii torture, nafikiri our police force ingeweza kupata

training, ijue jinsi ya kuweza kujua kama kweli mtu alifanya jambo au hakufanya badala ya kuenda kwa torture.

Kuwe na free education, Serikali inaichangia kwa budget yake. Tungekuwa also na free medical care. Kwa upande wa

biashara labda kungekuwa na free education. Ingejaribiwa kuwekwa kwa kila pahali na kuwe na minimum charges kwa sababu

naona baadaye labda itapata tax hapo, it will make money. Lakini saa hii inakuwa ni shida sana, wanaingiza labda a million.

Kuweka sehemu fulani watu wafikishe (inaudible) kama wanataka nini. Inakuwa ni vita, watu wanakusanya, mnaambiwa labda

mtapewa million, two million na hii kitu naona kama itaturudisha nyuma sana. Kama Serikali ingeweka halafu iendelee kutu-tax

pole pole. Naona kama tungefaidika sana.

Com. Bishop Njoroge: Thank you very much John. Kennedy Macharia. Joyce N. Peniti.

Joyce Peniti: Kwa majina ni Joyce Peniti na ninaanza na education. Education inatakiwa ichukuliwe iwekwe maanani kabisa,

zaidi kwa wasichana. Kwa sababu kuna mahali kwingine, makabila zingine kama Wamaasai na Wasomali na Wasamburu

hawachukulii maanani kwa wasichana kuenda shule. Kwa sababu wanapenda kusema wanauza wasichana. Iwekwe maanani

kabisa na iwekwe sheria ya kwamba kama mtu hajasomesha mtoto anachukuliwa hatua. Hilo ni la kwanza. ‘

La pili ni kwamba, kama habari ya wanyama, wanaumiza watu sana na Serikali haichukulii maanani. Maana kama mnyama ikiua

mtu, Serikali haisikii uchungu. Lakini raia akiua mnyama, Serikali inasikia uchungu sana sana. Inatakiwa vile inasikia uchungu

kwa mnyama, isikie uchungu kwa binadamu.

Ya tatu ni kwamba Administration iendelee kama zamani. Kwa sababu kama hatuna Ma-D.O au Ma-DC, na Ma-Chiefs,

wananchi wataumia. Kwa sababu tukisema eti, Councillor anasimamia mahali ya Chief au mahali ya D.O., mambo itabadilika.

Kwa sababu saa ingine, sikumpendelea yule Councillor au sikumchagua lakini nikienda na shida yangu, atanipinga maana

sikuwa nimemchagua. Kwa hivyo Administration iendelee kama zamani.

Mahali ya Rais: Rais anatakiwa achaguliwe na akae muda wa miaka kumi. Baadhi ya Councillor, Mayor na Ma-Chairmen,

wachaguliwe na raia. Tunapopiga kura, tupige kura kwa njia ya kuchagua Mayor na kuchagua Council chairman. Ni hayo tu.

Com. Bishop Njoroge: Asante sana Joyce kwa hayo maoni mazuri. Mletee kitabu. Aminga, can you register her from there?

John K. Gichia. Akifuatwa na Samuel Nyaoga.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!