27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

73

irudishwe kwenye mamlaka ya wale watu ambao wako karibu na zile sehemu.

Pia kama haitazekana kabisa, iwe asilimia themanini na tano ya mapato ya kutoka kwenye yaani sehemu kama Amboseli na

Tsavo, iwe inaandikwa wale wananchi wanaozunguka ile sehemu. Kwa kuwa wale wananchi ndio wanaumia, ng’ombe zao

zinaumia na wanyama wa pori na pia hata wao wenyewe ndio wanaliwa na simba. Kwa hivyo kwa njia ile ama nyingine, wale

watu ndio wanaadhirika kuliko watu wa mbali ambao wanakuja kutoa pesa pale na hawana faida yeyote, anawachia wale

wananchi wanaozunguka hizo sehemu.

Lingine ningetaka hizi Title Deeds za mashamba, ziwe zinakaa kwenye ofisi kama ya D.O. na asiwe mtu kama Registrar ambaye

anakaa sehemu ile, baada ya miaka mitano yeye ametajirika hata kuliko hata Waziri aliyeko kwenye Ministry. Kwa ajili mtu

yeyote akitaka Title Deed, yeye mpaka tulipe yeye kwa namna ile ama nyingine. Kitu kama hicho ningetaka iwe katika ofisi ya

D.O. Kuhusu Ma-Chiefs: Ma-Chiefs kwa maoni yangu ningetaka mimi kwa mawazo yangu ama kwenye hii Katiba

tunayotengeneza wa leo, Chifu awe anachaguliwa na raia wa sehemu yake na awe amehudumu miaka saba.

Baada ya miaka saba iwe pengine ataangaliwa kwa kura ya maoni kama bado wananchi wanampenda au hawampendi. Ili asije

kukaa na kujisahau kabisa kama ilivyo sasa. Maana Chifu hatujampata hata saa hii sasa. Anakaa hata miaka mia moja, sijui ni

uzee utawaondoa hapo na anaweza kufanya chochote anachotaka maana yeye amekuwa ni mtu permanent. La mwisho kabisa

ningeomba Serikali za wilaya yaani hawa Ma-Councillors. Ma-Councillors wawe ni watu wamesoma kidogo. Ma-Councillor

wateule wasiwe wanateuliwa kwa ajili ya chama. Councillor kama anateulwa awe ni mama ama ni mlemavu ambaye hawezi

kujitetea kabisa. Asante.

Com. Lethome: Ungependekeza elimu yake iwe katika kiwango gani?

John Komoi: Awe kwanzia Form Four na kuendelea.

Com. Lethome: John Lemantu.

John Ole Lemantu: Ore ta nanu nainei na naji John Lengeteo ole Mantu.

Translator: Anaitwa Lengeteiyo Ole Lemantu.

John Ole Lemantu: Namanya eda kop or lashanjani.

Translator: Kutoka hapa Loitoktok.

John Ole Lemantu: Ore ta nainei tendoropu na ore ene wueji olainguenak na ninye aiteru.

Translator: Yeye anaanza kwa upande wa Ma-Chifu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!