constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
79

kuangalia masilahi yao. Kwa sababu tukiwa sasa sisi Ma-Councillors hatuna mishahara lakini kwa sababu hatuendi Bunge,

hatuendi Bunge, kwa hivyo hatuna watu wa kututetea. Lakini wale wanajitetea wenyewe, wanajipatia pesa chungu nzima.

Ma-Chiefs wawe ni watu ambao wanachaguliwa na wananchi kama zamani na wawe wamehitimu kidato cha nne. Wakati wa

kukaa, kama ni miaka tano, akichaguliwa pamoja na Councillor naye aende kwa wananchi atafute tena, kama ni mzuri, apewe

tena arudi.

Mishahara ya madiwani: Mishahara ya madiwani isiwe inaangaliwa na district, iwe mishahara inapeanwa na Serikali Kuu. Kwa

sababu vile nao madiwani hawana mishahara, ni kwa sababu inarudishwa katika area zao. Zingine zina pesa, zingine hawana.

Kwa hivyo iwe, Central Government ndiyo inatoa mishahara ya madiwani.

Mahakama: Mahakama iwe na wazee wa kuangalia ya kwamba huyu mtu amekuwa namna gani. Mahakama iwe na wazee wa

kuangalia wale watu. Kama mahakama ya hapa kwetu ni kwanzia hapa wakazalia ya kwamba, huyu mtoto kweli hajafanya hivi,

amedhulumiwa, hawezi kuwa namna hii. Kwa sababu wengine ni (inaudible) na mtu anataka Councillor apate ile kitu ambayo si

haki.

Jela ya Kenya iangaliwe kwa sababu si kama wanadamu wanaenda ile jela ni kama wanyama. Iangaliwe. Kwa sababu yule mtu

hata kukosa kwake ni nini kubwa sana. Kwa hivyo aangaliwe apate pahali mzuri, akule pahali mzuri na aende kazi. Kwa hivyo

jela za Kenya ziangaliwe.

Hospitali: Hospitali iwe ya bure katika nchi ya Kenya. Mazingira yetu ama zile rasilimali Mungu alitupa. Serikali inakuja, inakuja

kuchukua kama maji haya ya Loitoktok, haisaidii sisi wenyeji na sisi tulipewa na Mungu, sasa inaenda kusaidia watu wawili au

watatu. Kwa hivyo kila kabila ikae na mali yao walipewa na Mungu. Kama ni mawe iwe sisi tunaangalia. Kama ni maji iangalie

na tutoshereke lakini si kuja kuchukuliwa kupelekwa pahali pengine.

Wanyama wa pori: Wanyama wa pori katika Serikali iliyoko, ni heri mnyama kuliko binadamu. Ni heri mnyama kuliko

binadamu na sisi kutoka tuzaliwe, sisi Wa-Maasai tunakaa na wanayama kwa miaka hii yote na wanyama ndio sababu iko nchi

ya wanyama. Wanyama katika nchi yetu. Kwa hivyo tunataka, zile tunalipwa, si chini ya shilingi elfu mia tatu. Tunataka tulipwe

kama vile sisi tunalipa (inaudible). Kwa sababu sisi mtu, tunalipa ng’ombe arobaini na sita, ukiwa Maasai ukifika. Na sisi

tulipwe, tupewe ya kwamba, mnyama zamani kwa sababu tulikuwa tunakaa na nini…ikikosea hivi, tunalipwa nini. Sisi tupewe

hilo jukumu la kuamua. Serikali irundi huko ituulize, mnataka pesa ngapi.

Mambo ya matangazo ya KBC katika Kenya. Inakuwa ni ya chama moja na tuko katika nchi ambayo iko vyama vingi. Hakuna

kitu ambacho inasaidia kwa matangazo katika vyama vingine. Itakuwa ni ya chama moja. Kwa hivyo tunaonelea ya kwamba

KBC irudi kuwa Kampuni. Isiwe inahusika na Serikali ile iliyoko. Iwe inajisimamia na itangaze na ifanye biashara. Nafikiri yangu