constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
88

Translator: Maana kama ni mambo ya mashule, hata sisi tunayo.

Lepapa Ole Potu: Ore si na keoshitoi kodi, kioshito si iyiok.

Translator: Kama ni wakati kodi ama ilikuwa inatoshwa ushuru, hata sisi tulikuwa tunalipa.

Lepapa Ole Potu: Nidol nkuti tokitin naitayieu ina eyieu neibelekenyi ena Katiba.

Translator: Na kuna mambo mengi sisi tungependelea katika Katiba hii ibadilishwe.

Lepapa Ole Potu: Ama tadoi tinimiata nkulukuok niboitare nguesi, nirita ana nkishu nijo aar nimikilaki na lekua

kulie laya mpisai enena nguesi meishori loboitare, ama, ine meosina.

Translator: Anasema shida ile ambayo tunaye, tungependa ibadilishwe haraka ni kwamba ardhi ile tuliyo nayo haitusaidii

maana tuanishi na wanyama, wanyama wakituuwa hailipwi. Sasa hatuna wanyama, hatuna pesa na hatuna ardhi.

Lepapa Ole Potu: Amu nai ninye olopeny inkiteng iyieu ropiani ntomoni uni nelaki enker kiasi hii.

Translator: Kwa sababu tunapokaa hatuna ardhi na wanyama wanatua na utalipwa shilingi elfu thelathini.

Lepapa Ole Potu: Ainyo doi pelakieki ina nguesi millioni.

Translator: Kwa hivyo hawa wanyama wanalipwa mabilioni ya fedha.

Lepapa Ole Potu: Ne nibung nai ningesuni etuni nai peno mikidungi orkos.

Translator: Na ukienda kushika swala, utaweza kuuawa hata.

Lepapa Ole Potu: Nadol tenkalo ai ajo ore oshi nguesi na nkuna ang irmaasai.

Translator: Yeye amesema basi kama tunaishi na wanyama, basi wanyama wawe ni wetu.

Lepapa Ole Potu: Na keyieu neshukoki nai iyiok na ninye siake nusu maisomie nkera amu euwo na osina enkop.

Translator: Basi turudishiwe zile fedha zote, sisi tuwe tunasimamia ili tuweze kusomesha nayo watoto.

Lepapa Ole Potu: Ore si ene wueji onkuapi aninginingito tonkuapi apa nawaki nashukokini lopeny.

Translator: Anasema pia katika Katiba hii angependelea kwa sababu kuna ardhi nyingi ambayo jamii nyingi walinyang’anywa

na walirudishiwa ardhi yao.

Lepapa Ole Potu: Ayieu si nanu neshukokini iyiok oltukai neshukokin iyiok olailelai.

Translator: Na sisi tunapenda turudishiwe ardhi yetu ambayo ilinyakuliwa kama Amboseli na sehemu ya Tsavo.