27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

3

Com. Lethome: Watu wa Loitoktok hamjambo? Asanteni.

Com. Bishop Njoroge: Tuna ma-officer kutoka kwa Tume, tuna program officer ambaye atatujulisha wafanyikazi wengine

aliokuja na wao.

Joash Aminga: Habari zenu? Kwa majina mimi naitwa Joash Aminga, mimi ndio program officer, tuna verbatim recorder

ambaye atakuwa akinasa sauti ya yale maneno mtakayoongea, anaitwa Alice Thuo. Pia kuna Osogo Ambani, ambaye

anaandika yale yote mnayoyanena! Asante.

Com. Bishop Njoroge: Pia tuna District Co-ordinator ambaye atakuwa akifanya kazi katika district hii ya Kajiado na

ningetaka aje hapa mbele aseme kama kuna members wa committee wake, atujulishe kwao kwa dakika moja. Karibu

Co-ordinator.

Ben Ole Mulei: Mimi kwa majina naitwa Ben Ole Mulei na tumekuwa pamoja na nyinyi wote, karibu. Nafikiri wote tunajua.

Na nasema karibuni sana. Leo ndio ile siku tulikuwa tunangojea. Pamoja na mimi, nimekuwa na msaada kutoka kwa wenzangu

ambao wametoka katika committee hii ya kushughulikia mambo ya kufundisha watu juu ya Katiba. Niko na Chairman wetu wa

CCC, wa Kajiado South Constituency naye ni Councillor Jacob Lesingo, yuko hapa. Tuko na Bwana Daniel Somoiye. Yuko

hapa. Wenzetu, kwa sababu ya wingi wa kazi, tuligawana. Wengine tulikuwa Kimana jana, tulikuwa Rombo wengine kwa

sababu ya haya matayarisho tu na nimeshukuru. Mmeitikia kuitwa na ninahakikishia Ma-Commissioners wangu kwamba bado

watu wanakuja. Watakuja. Na kwa hayo machache, singependa kupoteza muda, ningerudisha tu kwa Commissioners

waendelee na kazi yetu.

Com. Bishop Njoroge: Kila mahali tumeenda, tukija hapa - tumetoka Turkana, Pokot, Marakwet - tumefurahia ile huduma

Provincial Administration wamefanya kwa ajili ya kazi hii. Kama Lodwar tulikaa siku nzima na wamekuwa na msaada kwetu

sana. Wakati tulipokuja hapa jana, tulikuwa na D.O wa Loitoktok ambaye ametuhudumia vizuri na tumeshukuru. Kwa hivyo

ningempatia D.O. atukaribishe rasmi ili tuweze kuendelea na mkutano wetu.

Malim Mohammed: Commissioner Njoroge, Commissioner Ibrahim Lethome, Co-ordinator wa CKRC, Bwana Mulei,

Program Officer ambaye ako hapa na wenzake wengine: Mwenyekiti wa KANU, viongozi na madiwani, Ma-Chifu na

wananchi kwa jumla hamjambo? Basi, nafikiri kwanza ni kushukuru Mwenyezi Mungu kwa sababu ni siku nafikiri tulikuwa

tukingojea kwa muda, na wengi wangelipenda labda kuja kupeana maoni yao kwa ajili ya hii Katiba, lakini hawako na sisi leo.

Kwa hivyo wale tuko hai, inafaa tushukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika siku ya leo. Ni bahati kubwa sisi

Wanakenya baada ya uhuru kupewa fursa ya kuja kuongea mambo ya Katiba ya nchi yetu. Kwanza kabisa nachukua hii nafasi

kuwakaribisha Commissioners wa Tume ya kurekebisha Katiba, Bwana Njoroge, Bwana Ibrahim Lethome na maofisa

walioandamana na hawa katika sehemu ya wilaya ndogo ya Loitoktok.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!