27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

22

Mtungeyi Mpaaye: Nikidol na apa ewaki tenkoitoi e giza.

Translator: Na tunaona ya kwamba, hiyo ardhi imechukuliwa kwa njia ya giza.

Mtungeyi Mpaaye: Nikietuo adol ajo eitauto faida sapuk nimikitumito.

Translator: Tunaona ya kwamba iko faida nyingi lakini hatuoni sisi kama wakaaji wa sehemu hii.

Mtungeyi Mpaaye: Nikidol ajo enarikino peshukokini iyiok metotiu ana apa.

Translator: Ningependekeza Amboseli National Park irudishwe.

Mtungeyi Mpaaye: Arashu ake ninye ore entoki natiuneki tena kata.

Translator: Au kile kitu ambacho ama faida yeyote ambayo inatokana na Amboseli kwa sasa,

Mtungeyi Mpaaye: Neaku are neaku ore asili mia sabini na tano na nguna ang.

Translator: Asilimia sabini na tano iwe ni yetu sisi kama wenyeji.

Mtungeyi Mpaaye: Ore enkae.

Translator: Jambo lingine,

Mtungeyi Mpaaye: Ore enkare nijo nena Ontureishi na ninye egira oloitoktok na enata apa eitegelieki iyiok

peishori.

Translator: Haya maji ya Ontureish ambayo ni yetu kama wakaaji wa Loitoktok, ingefaa inapochukuliwa, tuhusishwe kama

wenyeji.

Mtungeyi Mpaaye: Ore esiai e KWS.

Translator: Mambo kuhusu wanyama wa pori,

Mtungeyi Mpaaye: Ore ana peponui ajokini iyiok nena KWS neaku osina teyiok.

Translator: Tangu K.W.S ilipoanzishwa, katika sehemu hii ya Umaasaini, imekuwa ni hasara kwetu,

Mtungeyi Mpaaye: Osina eyaka iyiok badala e faida.

Translator: Imeleta hasara badala ya faida.

Mtungeyi Mpaaye: Amu etuo tata nepuonu ajo ngunenye nguesi.

Translator: Maana watu wa K.W.S. wamekuja wakasema wanyama ni wao,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!