27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

25

Mtungeyi Mpaaye: Ena najo majimbo

Translator: Ni kuhusu Majimbo.

Mtungeyi Mpaaye: Ore ina naji majimbo nenare pekiata te shumata mpaka abori.

Translator: Majimbo inatakiwa tuwe nayo kutoka ngazi za chini mpaka ngazi za juu.

Mtungeyi Mpaaye: Pa ore ninye kulo kutikuti likitum na oitalakuni nikitum nkuti na kuna nkumok na nai na alang

napuo shumata.

Translator: Hata hizi pesa ndogo ndogo tunapata katika ngazi za chini, hazitusaidii.

Mtungeyi Mpaaye: Nenare si sipitali peaku ene mwisho peaku ene pesho.

Translator: Ya mwisho,

Translator: Matibabu yawe ya bure.

Mtungeyi Mpaaye: Ashe.

Translator: Asante.

Com. Bishop Njoroge: Asante sana Mzee kwa hayo yote. Fredrick Kimani, yuko wapi? Simeli Ole Nsempai.

Simeli Ole Nsempai: Mimi maendeleo yangu nilikuwa napenda kama…..jina langu naitwa Simeli Ole Nsampai.

Mapendekezo yangu nilikuwa nataka kama, unajua mimi sijui Kiswahili sana.

Translator: Yeye kwa maoni yake anaona Serikali inatunyima haki yetu.

Simeli Ole Nsempai: Amu kisom inkera badala peidip form four nedumuni neyai lorin netai ena kop nemeetai neima

te mutihani.

Translator: Maana unasomesha mtoto, unapomtafutia mtoto wako shule, inabidi umpeleke shule za hali ya chini kwa sababu

hachukuliwi.

Simeli Ole Nsempai: Kwa sababu mimi nilizunguka kwa sababu niliandikwa 1975 kwa kazi ya Serikali, anaenda mashambani

kila pahali, anakuta walimu wote. Anajua elimu yote ilikuwa ni ya Wakamba, wanasomesha mandugu zao na lazima hao watoto

wapite. Halafu napendelea Serikali itakayoingia, irudishie watoto wetu kusoma ili wakuje kusomesha mandugu zake.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!