27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

46

Conference inasema, lazima iwe na watu watatu kutoka kila district na hiyo Act inasema specifically, mtu mmoja ni lazima awe

mama. Tulipokuwa tukichagua committees za constituencies, Act ilisema 1/3 wawe akina mama. Kwa sababu mara nyingine

akina mama……kwa hivyo unasema hata akina mama wapiganie uongozi?

Daniel Molunkei: Sawa.

Com. Bishop Njoroge: Sawa. Stephen Kariuki. Charles Kimani.

Charles Kimani: Majina yangu ni Charles Kimani na nina maoni yafuatao. Kwanza ningependekeza kuhusu ukulima. Kwa

wakaaji wa hapa, tunapata shida nyingi sana kuhusu ukulima, tunashindwa mavuno yetu tutayapeleka wapi kwa sababu hakuna

ready market ambayo tunakuta iko. Especially kama cereals board ambayo tuko nayo hapa, inafaa kuwa under long run. Lakini

unakuta iko under short run. Ningeomba Serikali iangalie kuhusu jambo hilo.

La pili, ni taxrate. Unakuta taxation rates ziko juu sana kwa wananchi wa kawaida ambaye ukijaribu biashara yako ndogo

ndogo, huwezi faulu. Kwa hivyo ningeonelea Serikali pia to consider that point.

Pointi ya mwisho ni kuhusu job opportunities. Kazi zingefaa zinagawanywa kulingana na elimu na experience yako. Unakuta

kama ni job opportunity mahali imetokea, unakuta the people who are there, hawafai kufanya ama hawana experience. So, that

point also to be considered. Ni hayo tu.

Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Charles. Thuo Chege? Akifuatwa na Masalia Ole Kima. Masalia Ole Kima

yuko? Na Saitoti Ole Maniki. Saitoti yuko? Patrick Maina yuko?

Thuo Chege: Kwa majina ni Thuo Chege. Maoni yangu kuhusu Katiba ni kwamba national resources ziwe zikisaidia, 75% ya

mapato ambayo itakuwa ikipatikana kwa national resources iwe ikisaidia watu wa ile area yaani locals.

Land: Kuhusu schemes na land ambayo imekuwa ni ya Government, inapaswa ku-sub-divided ili any citizen ambaye ni eighteen

years ambaye ametoka pahali land hiyo iko na kama land inapatikana, igawanywe kulingana na vile iko. Wasted land: Kuna

mashamba mengi wasted. Kuna watu wako na kama ekari elfu tano na hawazitumii. Katiba ingebuni njia, watu wawe wakipata,

wale ambao hawajatumia hiyo land, Serikali iwang’anye iwe utilized kwa wale wako as citizens. That is, it should be reduced.

Powers za President zinapaswa kuwa limited, kama appointment of Judges na Commissions zinapaswa kuwa kwa raia. Quota

system….

Com. Bishop Njoroge: I beg your pardon. Judges wawe wakichaguliwa na raia?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!