27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

51

they are foregoing some costs for co-existing with wildlife. Therefore, priority should be given to ploughing back some of the

income to the local community. Because there is a cost of sustaining wildlife. Wildlife should justify its existence in this area.

Kwa hivyo tunaona community ambayo inakaa na wildlife iangaliwe kwa sababu saa hii ni kama tunachukuliwa kama tuko sawa

na hawa wanyama. Wacha waishi vile wanavyoishi lakini unaambiwa three hundred million, two hundred million imepatikana

kutoka Amboseli lakini mtu wa hapa hata hapati maji ya kunywa.

Com. Bishop Njoroge: I have already given you eleven minutes. I will add you one more.

Daniel Somoire: Thank you. Pia katika system ya Local Government, ninge-propose Local Government election date yao

isiwe ina-tally na ya National Assembly. Kwa sababu unakuta vile watu wana-collude kushikana Councillor na Mbunge, mtu

anafaa awajibike kivyake so it sounds like we are not electing a lineup of candidates for the Local Authority and Parliament.

The election time should be separated. Thank you very much.

Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Daniel Somoire. Shadrack Lapi na atafuatwa na Ntumei Ole Mwenda.

Shadrack Lapi: Asante. Nitaongea kidogo tu maana sina mengi. Enyewe watu wameongea mengi mengi tu lakini hapa

nikiongeza si makosa ama nikisema si makosa. Watu waliongea habari ya Ma-Chiefs ya kwamba hivi na hivi, Chief inatakiwa

awe. Haiwezekani kukaa bila Chief. Chief anatakiwa awe. Lingine la pili kutoka hilo, inasemekana habari ya Rais na nini na

nini, huwezi kupewa ofisi na usipewe mamlaka. Ukiwa katika ofisi, kama sasa nyinyi mnakaa hapa, labda una mamlaka fulani,

na yule ofisini apewe mamlaka yeyote. Apewe mamlaka na apewe ofisi. Lingine la tatu nikitoka kwa hiyo, ni habari ya hospitali.

Tukiongea habari ya hospitali, maneno mengi mengi iko ndani. Na tukiongea hapa hivi tunaanza kuonekana ya kwamba

tunafanya kama fitina. Matibabu ya hospitali tupate ya bure. Shule pia ni hivo hivo. Tuwe na elimu ya bure. Lingine la nne

nikitoka kwa hiyo, ni Amboseli area. Amboseli hapo mbeleni ilikuwa ni yetu. Irudishwe katika Local Government na iwe

wananchi nao tufaidike na mali ya nchi yetu.

Majimbo: Tunataka hii nchi iwe ya majimbo. Yangu imeisha. Asante.

Com. Bishop Njoroge: Shadrack umesema mambo mengi ya maana kwa muda mfupi. Asante. Tupate Ntumei Ole Mwenda.

Wapi Chief? Utaongea kwa Kiswahili? Na useme jina lako.

Ntumei Ole Mwenda: Eeh. Mimi naitwa Ntumei Ole Mwenda. Sina mengi, nasema nataka machifu wakuwe. Ya pili, tunataka

masomo iwe ya bure. Ya tatu, hatutaki wale waalimu inasemekana wanatoa watoto shuleni haswa wasichana. Na hao

wasichana warudi shuleni na hao waalimu wachukuliwe hatua kali. Sina mengi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!