27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

21

Translator: Huyo mtu mmoja akichagua Chief anamchagulia watu wenu.

Alais Ole Kisonokoi: Nelotu ilo laiguenani ajo nanu ta otegeluaki neme iyie likitegelua aas ena enayieu.

Translator: Huyo Chief anakuja anasema ya kwamba, “mimi nimechaguliwa na sio nyinyi mmenichagua.”

Alais Ole Kisonokoi: Nikijo oi ena aku na, kake io eneaku na iyiok nagelu.

Translator: Tunapendekeza ya kwamba, Chief awe akichaguliwa na raia.

Alais Ole Kisonokoi: Ore ene mwisho na ata na eishua kulikae tunganak enetejo najo ashe te ina kiti muda nanoto.

Translator: Ni hayo tu, asante.

Com. Bishop Njoroge: Mzee, kuja ujiandikishe, asante kwa maneno yako mazuri. Mtungeyi Mpaaye.

Mtungeyi Mpaaye: Mimi kwa majina naitwa Mtungeyi Ole Mpaaye na maoni yangu ni hivi. Nazungumza kwa Kimasai kwa

sababu mimi ni Mmasaai na hiyo lugha ndio najua kuliko Kiswahili. Najo na iji, ore duat ai na iji etiu.

Translator: Maoni yangu ni kama yafuatayo.

Mtungeyi Mpaaye: kidol ajo ore na ntokitin apa nikiata tenejokini na iyiok maiturai ena kishon e tata na kiata baa

kumok nikijo amu otunguaye ore peasayu negelieki iyiok ana olopenye enkop.

Translator: Kulingana na mambo ama maisha ya sasa, kuna mambo mengi yanatendeka ambayo ni ya kusaidia lakini inapaswa

kuwa tunaulizwa kwanza kabla haijatendeka.

Mtungeyi Mpaaye: Ana e Amboseli.

Translator: Kama vile Amboseli.

Mtungeyi Mpaaye: Amu ore apa enaibungayieki naake mikiyiolo.

Translator: Maana Amboseli ilipochukuliwa, hatukuhusishwa kama wakaaji wa sehemu hii.

Mtungeyi Mpaaye: Nikidolita ajo enkop ang apa etipat oleng.

Translator: Na tunaona ya kwamba ni area yetu ambayo ni area ya mojawapo muhimu zaidi.

Mtungeyi Mpaaye: Na tenewaki apa mikiyiolo faida enye nikietuo aiyiolou.

Translator: Na kama ilichukuliwa kabla ya sisi kujua faida yake, sasa tumeshajua faida.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!