27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

98

Jacob Mparapari: Ana mfano naijo nanu.

Translator: Kwa mfano kama yeye,

Jacob Mparapari: Sijasoma.

Translator: Hajasoma,

Jacob Mparapari: Kake ayieu enkisuma kake eitu aisoma apa.

Translator: Lakini hawezi laumu mtu kwa sababu ni baba yake hakumpeleka shule,

Jacob Mparapari: Ore na tena kata iji tekuna olongi.

Translator: Lakini sasa kwa saa hizi,

Jacob Mparapari: Ore oltungani peitu epik enkerai te sukul.

Translator: Yule mtu ambaye hajaweka mtoto shule,

Jacob Mparapari: Tena Katiba nikigira aibelekeny.

Translator: Kwa haya mambo ya Katiba,

Jacob Mparapari: Neibungi ilo tungani kisheria.

Translator: Wawe wakilazimishwa wawe wakisoma kwa lazima.

Jacob Mparapari: Ore sininche nainei.

Translator: Yake ni hayo. Mungu awabariki.

Jacob Mparapari: Ni hivyo Mungu abariki ninyi.

Translator: Kuna masomo ya watu wazima. Ungetaka Katiba mpya ilazimishe watu wazima wasome pia.

Jacob Mparapari: Ee atajo irid.

Com. Bishop Njoroge: Wewe umetoka wapi?

Musa Koriri: Ore ta sininye enai kake aisho enkai enashe eitutumo iyiok. Aji te nkarna Musa Koririi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!