27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

33

Lingine, quota system ni sawasawa, mimi naona ni kitu ambacho kinatusaidia. Shule kama hizi ambazo ziko katika mahali

pakavu, ingelikuwa ni vizuri, watoto ambao wana points ambazo sio chini sana, waweze kufikiriwa kwenda katika shule

ambazo zimeendelea. Kwa sababu saa ingine unakuta kwa sababu ya zile facilities na ukosefu wa waalimu wa kutosha, kuna

watoto ambao ni wazuri sana hapa lakini hawafanyi vizuri kwa sababu ya ukosefu wa hizi facilities ambazo nimetaja. Asante.

Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Mwalimu. Jackson Lokoile. Paul Kinyala.

Paul Kinyala: Jina langu naitwa Paul Kinyala.

Com. Bishop Njoroge: Utazungumza Kiswahili au Kimaasai.

Paul Kinyala: Nitazungumza lugha ya Kimaasai.

Translator: Kwa jina ni Paul Kinyala.

Paul Kinyala: Ore ene dukuya naihusu Katiba na eikijo ashe.

Translator: Ninashukuru Tume hii ya kurekebisha Katiba kwa kufika.

Paul Kinyala: Amu eitu aikata kidol katiba na iyiok lopeny enkop.

Translator: Maana hiki ni kitu ambacho ni cha muhimu sana, wenyewe ama wananchi kutoa mapendekezo yao.

Paul Kinyala: Na eikishipa si tene nyaki ashukokino lipeny enkop Katiba.

Translator: Tumefurahia Katiba ikiwa inarudi kwa wenyeji.

Paul Kinyala: Amu kijo oshi enake epuoyi aimaki intokitin eitu eyieu.

Translator: “Namwambia aingie kwa point.”

Paul Kinyala: Ore na engelunoto ena pae e Rais.

Translator: Kuhusu mamlaka ya Rais,

Paul Kinyala: Ole kabila nara.

Translator: Awe wa kila kabila.

Paul Kinyala: Na olonyor iltunganak pooki.

Translator: Tungetaka Rais ambaye anapenda kabila zote.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!