constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
7

Imebaki ngapi hapo?

Com. Bishop Njoroge: Nakupatia dakika mbili.

Francis Ole Legis: Ama hutaki hilo swali Honourable Commissioner? Sasa - na kweli nimesoma, karibu nimalize. Kwa hivyo

- nilikuwa nimesema nimetanguliza hiyo - kusema yale mambo ya nchi. Kama tunavyojua Wamaasai wafikiriwe maana bado

wako nyuma. Let us know, kama tukiendelea kuachwa kama vile walivyo, there is a fear - to avoid vitu mbili. The Maasai being

sub-merged by other tribes. Kitu ya pili, a situation like that in Namibia - although not by the Government but by the people.

Also, that which we nearly saw happening in Narok and Subukia. To do that, this is why I suggested, we should have a land

buying committees owned and led by the Maasai and they will know who to sell to and who not. Kwa hivyo Bwana

Commissioner nimemaliza.

Com. Bishop Njoroge: Utakwenda pale na memorandum yako. Umeona sasa umezungumza mambo ya maana. Tupate Rev.

E. Ole Ntoipo.

Rev. Elias Ntoipo: Mimi kwa maoni yangu katika Constitution - jina langu ni Rev. Elias Ntoipo. Nitazungumzia mambo

machache juu juu kwa sababu kuna memorandum hapa ambayo nitapeana. Nitazungumzia juu ya ardhi. Ardhi na rasilmali

katika nchi ya Wamaasai. Ni kwamba Constitution ama Katiba hii ambayo tunaiandika, iweze kuilinda nchi ya pastoralists.

Wamaasai wakiwa sehemu moja ya pastoralists. Kwa sababu watu wanapoona sehemu zile za nyanda za chini, wanasema

hakuna watu. Wanasema hakuna kilimo na tukianza sote mambo ya kilimo, basi ya watu wengine kama Wamaasai inaharibika.

Kwa hivyo katika land, land ya Wamaasai iwe protected. Kusiwe tena na Land Control Board, kuwe katika Constitution,

Customary Land Control Board ili Wamaasai waweze kugawa nchi yao.

Kwa sababu kwa wakati huu, ni kama Land Adjudication iliyofanyika ilikuwa njia ya kunyang’anya Wamaasai nchi. Pia na

agreement zilizotelewa 1914-1911, haikuwa agreement kwa sababu, Lenana hakuwa kiongozi wa Wamaasai, so the question is

this: Isipokuwa Lenana nani alikuwa hapo? Hakuna aliyekuwa hapo. Kwa hivyo hakukuwako na agreement yeyote kati ya

Wamaasai na British. Jambo lingine ni kwamba sehemu ya Nakuru, Laikipia, sehemu ambayo bado haijakaliwa ambayo bado

Wazungu wanakalia, ni heri irudishiwe Wamaasai maana ni nchi yao. Amboseli iwe chini ya Wamaasai, a part of Tsavo West na

Chyulu hills ambayo ilichukuliwa na National Park. Hizo resources zote ziweze kurudishwa kwa Wamaasai ili waweze

kuendeleza kwa ajili ya kazi zao.

Nikija kwa upande wa education: Education pia ni kwamba tumekuwa watu ambao wamekuwa neglected sana. Hakuna regime

ambayo imezangatia elimu ya pastoralists. Economy haijazingatia, zile ziko hazijazingatia na kwa hivyo tunataka quota system

katika University, vile vile Pastoralists. Na University ijengwe katika nchi ya pastoralists ili kuweka wao motisha ya kwamba

kuna elimu baada ya Secondary. Hiyo nayo tunahitaji Constitution iweke kwamba elimu ya pastoralists izingatiwe na kulindwa ili