constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
17

quota system ya education. Because zile subjects tunazofanya ni moja everywhere. Mtihani ni mmoja. Kwa nini mtoto hapa,

apate marks six hundred, mwingine huko chini apate five ama apate four hundred, na kuwe ule wa four hundred anaenda shule

nzuri kuliko huyu wa six hundred. Mtihani ulikuwa mmoja, mwalimu amefundishiwa pahali moja. So, iwe mtoto kutoka pale

mwanzo mpaka mwisho, watachukuliwa kulingana na mapato yao.

Kitu kingine ni Local Government. Local Government hawafanyi kazi yao. Local Government hatuoni kazi yao. Kazi ya Local

Government iwe wamepangiwa kazi fulani, kama ni kuweka maji area hii, waweke maji. Kama ni barabara wamepangiwa,

wawe kazi yao ni ya barabara. Lakini sio pesa tu ziwe zinatumika tu na hata hatuelewi vile zinavyotumika. Thank you.

Com. Bishop Njoroge: Kuna swali.

Com. Lethome: Umesema mtu akitaka kuuza mali yake, let’s say mtu anataka kuuza land, mtu awe na uhuru wa kuuza kile

anachotaka, uwe ni mbaya uwe ni mzuri, asiingiliwe. Na je unaonaje kwa mfano kama family itakuwa involved katika hilo

shamba? Hiyo ndio unaita kuingiliwa kama bibi na watoto - is that what you are suggesting?

Paul Njuguna: A family is a part of you. So, you are - kuhusu, familia sasa ndio nimewalifikiria hilo jambo.

Com. Lethome: Swali lingine. Kuna mahali pengi tumeenda na watu wamesema kazi ya Chief ni muhimu sana kwa sababu

yuko karibu na watu. Lakini wamesema Chief wawe wakiwa-transferred katika eneo lingine katika district hiyo au division hiyo.

Unafikiria hiyo itaondoa shida hiyo ukiwa na kisasi na Chief? Chief aweko, lakini can be transferred within the division or the

district.

Paul Njuguna: Ndio nilikuwa nauliza, kuna haja gani ya kuwa na Chief na kuwa na D.O. ambaye amesoma? The best thing ni

kuwa na D.O. ambaye amesoma hata kama watakuwa watatu, waje wafanye ile kazi ya Chief. Lakini si kuwe na Chief ambaye

hawezi kuondoka pahali pale kwenye kijiji.

Com. Bishop Njoroge: Can we have Paul Mwangi?

Paul Mwangi: Jina langu ni Paul Mwangi. Kwa maoni yangu ningeonelea, Administration iliyoko kwa wakati huu iendelee

lakini katika upande wa Chief, tubadilishe. Tuwe, badala yake, tuwe na Councillor ambaye ana nguvu. Ule mshahara ambao

unalipwa Chief, uongezwe kwa Councillor ndio miaka mitano ikiisha, yule Councillor tunaweza kumuondoa na kuweka mtu

mwingine.

Pia, ningeonelea tuwe na Prime Minister ambao watasaidiana kazi na President. Katika uajiri kwa Serikali kama vile Electoral

Commission, Central Bank of Kenya navitu kama hivyo. Watuambayo ni makubwa ambao wanateuliwa na Rais, mpaka