27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

87

sababu yeye ni Mkenya.

Kuhusu elimu: Ningeomba elimu, kwanzia darasa la kwanza hadi la tano, katika shule za msingi, watu wafundishwe. Watoto

wawe wakielimishwa lugha zao, lugha za tamaduni zao. Kwa sababu kumekuwa na shida kwamba, watu wamebadilika sasa si

Wa-Afrika, wamekuwa Wazungu na huku bado ni Wa-Afrika. Unakuta Mmaasai hajui Ki-Maasai, hajui lugha yake yeyote ile

na hawezi kutumikia ile jamii.

Basi ningeonelea tu kwamba elimu za shule za msingi kwanzia darasa la kwanza hadi la tano, wawe wanafundishwa lugha za

tamaduni zao kama ni Mkikuyu, afundishwe kwanzia darasa la tano, akifika kule mbele atakuwa amejua at least anaweza

kuzungumza na watu wale wengine hawajui Kiswahili ama Kiingereza. Mimi sina mengine mengi ila ninashukuru kwa kupata

nafasi hii na Mungu awabariki sana. Asante.

Com. Bishop Njoroge: Asante sana. Nenda ukajiandikishe. Ningetaka wale wote ambao hawajazungumza waje hapa mbele.

Wale ambao hawajazungumza na wangependa kuzungumza. Wale hawajazungumza na wangependa kuzungumza, tafadhali mje

hapa mbele. Njoo Mzee, njoo hapa. Njoo mpaka hapa. Mwambie aje hapa mbele kabisa. Nataka aje hapa aketi. Nataka

mkae hapa kiti cha mbele. Everybody who wants to talk, kwa sababu karibu tunafunga. Wewe unataka kuzungumza? Nasema

mje hapa mbele. Na wewe Mzee. Hebu muulize huyo Mzee yuko nyuma? Njoo hapa. Msongee. Wewe huko nyumba unataka

kuzungumza? Njoo hapa. Sasa tutaenda, tuanze pale, hivyo mpaka tumalize. Haya, Mzee.

Lepapa Ole Potu: Kaji Lepapa olole Potu.

Translator: Anaitwa Lepapa Ole Potu.

Lepapa Ole Potu: Nairo nkutiti tokitin.

Translator: Anasema ataenda kuongea tu machache kuhusu Katiba.

Lepapa Ole Potu: Ore ta ena toki nairoritae naji Katiba ole eikinyor nai tenemutu eton doi eitu eisik lewa.

Translator: Anasema Katiba kweli tunapenda sana irekebishwe kama ni jambo la kweli linafanywa.

Lepapa Ole Potu: Paeikitumoki ena aji emaa amu tenemutu nai eetai iltunganak oumisate na ke iyiok.

Translator: Na hasa sisi katika jamii hii ya Wa-Maasai kwa sababu sisi tumeumia sana kwa muda mrefu.

Lepapa Ole Potu: Ana enigira adol nayiolo sinanu entoki oshi nimikiata nata enkae serikali.

Translator: Anasema kwa sababu yeye anaona kama ni watu wamepungukiwa sana na huduma ya Serikali.

Lepapa Ole Potu: Amu tena enkerai esukul eta kudol oshon kulikae kiata siyiok.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!